Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

WAZEE wetu walijua sana ulimwengu wao wa mwili na ule wa roho. Karibia kila jambo walilofanya au kulizuia lisifanyike, lilikuwa na maana kimwili na kiroho.Labda ndio maana waliishi miaka ya kutosha sana. TAFAKARI VIZURI TU UTAGUNDUA!

Habari ya nywele kuwa na mahusiano na ulimwengu tusioujua huenda ni kweli. Huko nyuma nakumbuka tulikuwa ukinyoa nywele unaambiwa uziokote zote ukazitupe chooni au uzichimbie chini. Na kinyozi lazima awe wa hapo kwenu. Hata wanawake walipokuwa wakisukana, nywele zilizokatika hukabidhiwa mwenyewe nywele ajue wapi azitunze. Lakini pia hukuruhusiwa kuzichoma moto. ..!!

WALIKUWA BORA SANA, HUENDA KULIKO SISI.
 
Ndomaana nivizuri baada ya kunyoa nywele uzichimbie na kuzifukia, ila kabla unatakiwa uangalie kushoto na kulia kama kuna anaye kuona. Kama hayupo fukia kisha sepa!!
Tunaonyoa saloon vipi?

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
nywele ni dead cells hazina athari yo yote ila ni kinyaa (karaha) kutupa nywele ovyo, ni rahisi kuingia kwenye chakula.
DNA yako inaweza tambulika kwa nywele zako, sidhani kama ni dead call kiivyo kama bado inaweza julikana kwa vipimo.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
lkn chooni ndio majini/mashetani yalipo. huoni ndio unawapelekea nyumba yao, mathalani nywele za mtoto mchanga
Kuna jinsi za kuzitumia ni mpaka mwanadamu alichukue yenyewe hayawezi hasa zikiwa zimeshachanganyika na uchafu

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Kuna jinsi za kuzitumia ni mpaka mwanadamu alichukue yenyewe hayawezi hasa zikiwa zimeshachanganyika na uchafu

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
We mshana acha kudanganya hapa

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
We mshana acha kudanganya hapa

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Weka ushahidi wa nilichodanganya

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
050ea33fea574c9868f60ed48c489592.jpg
 
[HASHTAG]#mshana jr[/HASHTAG] yuko sahihi kabisa kwenye hili mimi ni muislamu na kwa mujibu ya mafundisho yetu MTUME wetu kipenzi alirogwa kwa nywele yake iliyobaki kwenye kitana na ALLAH MTUKUFU akamsaidia akamponesha,

Na kurogwa kwake hakukuhusika kwenye kuathiri mambo ya mafundisho aliyokuwa akifundisha ilikuwa ni kuhusu vitu personal vya kwake kama kusahau, uchovu nk.
 
[HASHTAG]#mshana jr[/HASHTAG] yuko sahihi kabisa kwenye hili mimi ni muislamu na kwa mujibu ya mafundisho yetu alirogwa kwa nywele yake iliyobaki kwenye kitana na ALLAH MTUKUFU akamsaidia akamponesha,

Na kurogwa kwake hakukuhusika kwenye kuathiri mambo ya mafundisho aliyokuwa akifundisha ilikuwa ni kuhusu vitu personal vya kwake kama kusahau, uchovu nk.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Na wapo waislamu wanaopinga kuwa haiwezekani MTUME wetu kipenzi kurogwa kwa maana angetoa mafunzo ya kiibilisi, lakini sio kweli hiyo hadeeth ni saheeh kabisa na ALLAH MTUKUFU ndio aliacha arogwe lakini asingeacha mafundisho yaharibiwe kwa maana hata huko kurogwa kwake ni mafundisho pia, yote ilikuwa kutuonesha kuwa na yeye alikuwa ni BINAADAMU na pia kuonesha UCHAWI UPO, hivyo tujitahadhari nao na wala tusishiriki,

Nimewasilisha kadri nlivyojaaliwa,ALLAH MTUKUFU anajua zaidi, niko tayari kuelimishwa zaidi.
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Nahisi kuna ukwel ndani yake....maana inashangaza hata mtoto akizaliwa inakubidi umnyoe nywele zote....sikuwahi kupata jibu ukimuacha inakuaje
Kuna wachawi usipomnyoa nywele za kuzaliwa nazo akatoka nazo nje wakiziona tu basi mwanao anakufa. Yaani wachawi wana zongo na hizo nywele.
 
Kuna wachawi usipomnyoa nywele za kuzaliwa nazo akatoka nazo nje wakiziona tu basi mwanao anakufa. Yaani wachawi wana zongo na hizo nywele.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Back
Top Bottom