Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

Sasa nifanyeje......?......maana nikinyoa nitafanana na shemeji yako halafu tutakukomfyuzi........twende kilioni nilisuka praimare..........inatosha..........
Si unaweka relaxer au unavaa ushungi.
 
Duh!! Kwa hiyo kuna miungu watu humu duniani au? Aisee!!
Wewe unataka kujionesha hapa jukwaani,ni kitu gani alichoandika Faiza Foxy ambacho kinasema yeye ni mungu,yeye ame quote maandiko matakatifu matakatifu ya Biblia ili kutukumbusha,wewe na uharo wako unasema eti duniani kuna Mungu mtu, huyo Mungu mtu anatokea wapi?.
 
Mi nnafikiri nywele ndio identity ya haraka inayotumika ku connect demonic power na muhusika,kuna kesi nyingi za watu kunyolewa nywele wakiwa wamelala usiku.
 
kwamfano katika imani ya rastafaria kwa uelewa wangu mdogo nywele ni kiunganishi katika yetu na Mungu aliye hai yaani huwa wanasema nywele hutumika kama transmission object ya masiliano yetu na Mungu pamoja na nature,nilimsikia rasta mmoja miaka ya nyuma kidogo akielezea kuhusu wao kufuga dread aliezea mengi kuhusu nywele
 
Kuna mambo ya kushangaza ambayo kwasababu ileile ya kimapokeo na mazoea huwa hatuyahoji au hatuna muda wa kufuatilia na pengine tunaridhika tu na hivyo yalivyo.

Nywele hizi zetu za kichwani zinabeba siri kubwa ambayo ina mawasiliano ya moja kwa moja na kuzimu au na roho zinazotangatanga.

Hebu tujihoji haya;

- Kwanini baadhi ya imani ni marufuku na hairuhusiwi kwa mwanamke kuonyesha nywele zake hadharani?
- Kwanini mchawi/mwanga anapokamatwa hukatwa nywele zote ili kummaliza nguvu zake?
- Kwanini chizi kichaa au mwendawazimu hunyolewa nywele kama sehemu ya tiba?
- Kwanini wachawi na waganga wengi hutumia nywele kama sehemu ya uchawi/ulozi wao?

Historia ya nywele kuhusiana na roho na nguvu za kiza inaanzia mbali sana miaka elfu nyingi iliyopita kwenye habari za Biblia takatifu kisa cha Samsoni na Delilah pale Mwenyezi Mungu alipoweka nguvu isiyomithilika kwenye nywele za Samsoni lakini shetani kupitia Delilah alimrubuni Samsoni na Samsoni akatoa siri ya nguvu zake.

Ni kutoka hapo ile nguvu ya kimungu iliyowekwa kwenye nywele za Samsoni iligeuka na kuwa nguvu ya kishetani na kufanya maangamizi makubwa, tangu hapo nywele imekuwa ni kitu kinachohusishwa na roho chafu na mapepo.
Sijaelewa kidogo@Mshana,inamaana kipi bora kuwa na nywele au kutokuwa na nywele kwa issue ya Delilah alinyolewa na nguvu zikaisha,na wachangiaji wengi wanaonekana ili mambo yaende unatakiwa kunyoa hapo ndio nashindwa kuelewa
 
Baada ya ishu ya Delilah nywele ni kama ziliingiwa na ile roho ya uharibifu
 
Salaam wana jukwaa

Kuna kitu nimekiwaza ila sijajua nini kinasababisha nywele zilizonyolewa kwa njia za kishirikina {zinanyolewa kidogo tu kama kipenyo cha sentimita moja} huwa zinachelewa sana kuota inaweza kuchukua hata mwaka na zaidi??
 
Ni kweli inatokea MTU anafanyiwa hivyo kwa lengo gan? Na je kinga ya kuzuia usipate mambo mabaya ikoje, waelevu wa mambo karibun
 
Salaam wana jukwaa

Kuna kitu nimekiwaza ila sijajua nini kinasababisha nywele zilizonyolewa kwa njia za kishirikina {zinanyolewa kidogo tu kama kipenyo cha sentimita moja} huwa zinachelewa sana kuota inaweza kuchukua hata mwaka na zaidi??
Sio kunyolewa nywele kwa ushirikiana,wataalam wanasema in aina ya minyoo ndani ya mwili ndio hupukutisha nywele kisehemu fulani cha kinywa ila nilimisplace reference!
 
Salaam wana jukwaa

Kuna kitu nimekiwaza ila sijajua nini kinasababisha nywele zilizonyolewa kwa njia za kishirikina {zinanyolewa kidogo tu kama kipenyo cha sentimita moja} huwa zinachelewa sana kuota inaweza kuchukua hata mwaka na zaidi??
Nywele ni kitu hai chenye shina sasa wachawi kwa kawaida hawakati bali wanang'oa, hivyo kufanya nywele zichewelewe kuota mpaka lipatikane shina lingine
 
Mkuu mwakajana nilisafiri kwenda mkoani kurudi nikakuta nywele chini ya Kitanda nikauliza niliowaacha nyumbani wote walikana kuzijua au kuziweka. Nikawaambia jamaa zangu wakaniambia nizitupe,nikama za kiaarabu au za sehemu za siri ila kwa sehemu za siri nyingi
 
Back
Top Bottom