Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

20160914_201840.jpeg
 
Chuo nilichosoma mimi hatukuruhusiwa kufuga nywele na tulikuwa tunanyoa kwa mwezi mara mbili na ilikuwa imo kwenye ratiba ya chuo na haikuwezekana usinyoe unaweza hata kufukuzwa chuo ukikaidi
Vyuo vya mafunzo ya kijeshi,magerezani,baada ya msiba unyolewa nywele tupe tafsiri.
 
It is very difficult to bewitch african girl. Everytime you take a piece of hair from her head either an innocent brazilian girl gets mad or a factory in china catches fire
 
It is very difficult to bewitch african girl. Everytime you take a piece of hair from her head either an innocent brazilian girl gets mad or a factory in china catches fire
[emoji15] [emoji102] [emoji15] [emoji102] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu mwakajana nilisafiri kwenda mkoani kurudi nikakuta nywele chini ya Kitanda nikauliza niliowaacha nyumbani wote walikana kuzijua au kuziweka. Nikawaambia jamaa zangu wakaniambia nizitupe,nikama za kiaarabu au za sehemu za siri ila kwa sehemu za siri nyingi
Mmh ulijuaje kuwa ni za siri?[emoji22] [emoji102] [emoji15] between iko hivi kuna wanga walikuja kufanya yao hapo na kusahau kusafisha
 
duu ukitafakari sana unakosa majibu ,kwani hata wachawi nao mwishowe hufariki pia
 
Back
Top Bottom