Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

mitaa ya bi mkubwa wangu,kuna mtoto hajawahi kunyolewa nywele toka azaliwe,na hafugi rasta ziko kama afro,ila kikubwa zaidi mama yake ni mchungaji ,zamani alikua anasaidia wamama kupata watoto,Mchungaji ester
 
mitaa ya bi mkubwa wangu,kuna mtoto hajawahi kunyolewa nywele toka azaliwe,na hafugi rasta ziko kama afro,ila kikubwa zaidi mama yake ni mchungaji ,zamani alikua anasaidia wamama kupata watoto,Mchungaji ester
Mmh something weird hapo
 
Ufanye nini unapokuta nywele/ndevu zimenyolewa

Unazuiaje waliochulua nywele hizo wasizifanyie mabaya?

Au kama wameshazifanyia unateguaje
 
Tumia hiyo tiba zitaota japo zitachukua muda sana

Jr[emoji769]
 
Hii Imekaa vipi kwa watu wenye Imani ya Rastafarian?
Naomba ufafanuzi Kaka
 
Nahisi kuna ukwel ndani yake....maana inashangaza hata mtoto akizaliwa inakubidi umnyoe nywele zote....sikuwahi kupata jibu ukimuacha inakuaje
Mtoto wa rafiki yangu hajanyolewa mwaka wa pili sasa. Miaka miwili anapiga Piano na Keyboard, anatumia Kompyuta, Simu, Smart TV anaweza kuendeshwa Hover Board na anaelewa lugha tatu Kituruki, Kijerumani na KiSwahili.
 
 
Ni kumi kwa moja halafu asilimia kubwa ni hiki kizazi chetu wazee wa zamani huthubutu kumuacha mtoto na nywele alizotoka nazo tumboni
Ndio maana asilimia kubwa tayari ya watoto wa siku hzi wanadata wakati bado hata hawajabalehe. Usasa umetuharibu sana.
 
Mkuu; Wachagga = Wayahudi(Taifa la Israel). Kwa sababu Zamani (ref.Biblia), Wayahudi walinyoa nywele, walirarua mavazi yao, walivaa magunia na kujipaka majivu kama ishara ya kuomboleza au kujuta/ kutubu kwa matendo yao maovu na kuomba msamaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…