Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

mitaa ya bi mkubwa wangu,kuna mtoto hajawahi kunyolewa nywele toka azaliwe,na hafugi rasta ziko kama afro,ila kikubwa zaidi mama yake ni mchungaji ,zamani alikua anasaidia wamama kupata watoto,Mchungaji ester
 
Mmh something weird hapo
 
.
54.jpg
 
Kuna mambo ya kushangaza ambayo kwasababu ileile ya kimapokeo na mazoea huwa hatuyahoji au hatuna muda wa kufuatilia na pengine tunaridhika tu na hivyo yalivyo.

Nywele hizi zetu za kichwani zinabeba siri kubwa ambayo ina mawasiliano ya moja kwa moja na kuzimu au na roho zinazotangatanga.

Hebu tujihoji haya;

- Kwanini baadhi ya imani ni marufuku na hairuhusiwi kwa mwanamke kuonyesha nywele zake hadharani?
- Kwanini mchawi/mwanga anapokamatwa hukatwa nywele zote ili kummaliza nguvu zake?
- Kwanini chizi kichaa au mwendawazimu hunyolewa nywele kama sehemu ya tiba?
- Kwanini wachawi na waganga wengi hutumia nywele kama sehemu ya uchawi/ulozi wao?

Historia ya nywele kuhusiana na roho na nguvu za kiza inaanzia mbali sana miaka elfu nyingi iliyopita kwenye habari za Biblia takatifu kisa cha Samsoni na Delilah pale Mwenyezi Mungu alipoweka nguvu isiyomithilika kwenye nywele za Samsoni lakini shetani kupitia Delilah alimrubuni Samsoni na Samsoni akatoa siri ya nguvu zake.

Ni kutoka hapo ile nguvu ya kimungu iliyowekwa kwenye nywele za Samsoni iligeuka na kuwa nguvu ya kishetani na kufanya maangamizi makubwa, tangu hapo nywele imekuwa ni kitu kinachohusishwa na roho chafu na mapepo.
Ufanye nini unapokuta nywele/ndevu zimenyolewa

Unazuiaje waliochulua nywele hizo wasizifanyie mabaya?

Au kama wameshazifanyia unateguaje
 
Shukran mwanzon nilidhani ni kovu sasa nikajiuliza kovu gani ambalo sikuwahi kujikata au kuumia sehemu hiyo jana nilikuwa kwa kinyozi ktk stor kasema nilinyolewa

Na hiyo sehemu ndevu zimeacha kuota kabisa na kufanya niwe nalazimika kunyoa wakati style yangu ni kufuga ndevu dah
Tumia hiyo tiba zitaota japo zitachukua muda sana

Jr[emoji769]
 
Kuna mambo ya kushangaza ambayo kwasababu ileile ya kimapokeo na mazoea huwa hatuyahoji au hatuna muda wa kufuatilia na pengine tunaridhika tu na hivyo yalivyo.

Nywele hizi zetu za kichwani zinabeba siri kubwa ambayo ina mawasiliano ya moja kwa moja na kuzimu au na roho zinazotangatanga.

Hebu tujihoji haya;

- Kwanini baadhi ya imani ni marufuku na hairuhusiwi kwa mwanamke kuonyesha nywele zake hadharani?
- Kwanini mchawi/mwanga anapokamatwa hukatwa nywele zote ili kummaliza nguvu zake?
- Kwanini chizi kichaa au mwendawazimu hunyolewa nywele kama sehemu ya tiba?
- Kwanini wachawi na waganga wengi hutumia nywele kama sehemu ya uchawi/ulozi wao?

Historia ya nywele kuhusiana na roho na nguvu za kiza inaanzia mbali sana miaka elfu nyingi iliyopita kwenye habari za Biblia takatifu kisa cha Samsoni na Delilah pale Mwenyezi Mungu alipoweka nguvu isiyomithilika kwenye nywele za Samsoni lakini shetani kupitia Delilah alimrubuni Samsoni na Samsoni akatoa siri ya nguvu zake.

Ni kutoka hapo ile nguvu ya kimungu iliyowekwa kwenye nywele za Samsoni iligeuka na kuwa nguvu ya kishetani na kufanya maangamizi makubwa, tangu hapo nywele imekuwa ni kitu kinachohusishwa na roho chafu na mapepo.

Hii Imekaa vipi kwa watu wenye Imani ya Rastafarian?
Naomba ufafanuzi Kaka
 
Nahisi kuna ukwel ndani yake....maana inashangaza hata mtoto akizaliwa inakubidi umnyoe nywele zote....sikuwahi kupata jibu ukimuacha inakuaje
Mtoto wa rafiki yangu hajanyolewa mwaka wa pili sasa. Miaka miwili anapiga Piano na Keyboard, anatumia Kompyuta, Simu, Smart TV anaweza kuendeshwa Hover Board na anaelewa lugha tatu Kituruki, Kijerumani na KiSwahili.
 
Ni kumi kwa moja halafu asilimia kubwa ni hiki kizazi chetu wazee wa zamani huthubutu kumuacha mtoto na nywele alizotoka nazo tumboni
Ndio maana asilimia kubwa tayari ya watoto wa siku hzi wanadata wakati bado hata hawajabalehe. Usasa umetuharibu sana.
 
Kwa mambo kama haya bila ulinzi wa Mungu mwanadam hakika hafurukuti
Nakumbuka kule kwetu uchagani ukitokea msiba siku ya 3 au ya 4 baada kuzika inaitwa siku ya kuanua tanga na nilazima kila mwana ndugu mhusika wa karibu anyolewe nywele sahem karibu na paji la uso na kisha kuzichimbia sehemu. mshana jr hii ina weza husika na na ulichokisema au ni kawaida tu?
Mkuu; Wachagga = Wayahudi(Taifa la Israel). Kwa sababu Zamani (ref.Biblia), Wayahudi walinyoa nywele, walirarua mavazi yao, walivaa magunia na kujipaka majivu kama ishara ya kuomboleza au kujuta/ kutubu kwa matendo yao maovu na kuomba msamaha.
 
Back
Top Bottom