Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka, ila nimezidi kukushanga mzee unajuwa siri za hivi, mshana ehh taratibu unazingua wewe ni wakaka ama.... Ahhh unanitisha mkuu
Naamini ulitaka kusema WAKALA...! Hapana mimi sio WAKALA
 
Ndio maana mabint wengi siku hizi hawajielewi kumbe kuna mchango wa hizi sijui Chile sijui brazilan tabu kweli kweli.Yaani binadamu amekuwa kama kuku wa Dar hakuna kinachotupwa kila kitu malighafi.
 
Ndio maana mabint wengi siku hizi hawajielewi kumbe kuna mchango wa hizi sijui Chile sijui brazilan tabu kweli kweli.Yaani binadamu amekuwa kama kuku wa Dar hakuna kinachotupwa kila kitu malighafi.
Ukitaka kugundua Mkuu, mabinti wengi 90% are always possessed with evil spirits lakini wao hata kushituka. My pastor hataki kabisa kusikia hii habari ya nywele za bandia..
 
Ukitaka kugundua Mkuu, mabinti wengi 90% are always possessed with evil spirits lakini wao hata kushituka. My pastor hataki kabisa kusikia hii habari ya nywele za bandia..
Ni kweli ambayo hawaitaki tena wengine zombie si zombie msukule si msukule yaani hajulikani akhera wanamtafuta duniani wanamuulizia.Kuna kitu nilisoma mwandishi anasema"the graceful giraffe cannot become a monkey"nilimuelewa sana nadhani ilikuwa song of lawino hawaridhiki wapo radhi watumie hata mafuta ya transformer wawe weupe.
 
Ila mshana kuna wamama wake wa wachungaji wanavaa sana mawigi na hata watumishi wa karibu wa wachungaji.inamaana wachungaji hawayajui haya wakayakemea hata kwa wake zao.sina uhakika ila nahisi hata mama rwakatale anavaaga yule
 
Hao wa hivyo wachunguze vizuri maisha yao utakuta hayana uchaji wala upako wa Kimungu
 
ukimuacha hakuna tatizo lolote, mimi nina mtoto wa dada yangu, wa kike, tokea anazaliwa namuona, hajawahi nyolewa nywele tokea tumboni mwa mamake mpaka leo ana miaka saba....yuko kawaida tu
Miaka saba? Mmh ngumu kumesa...siku mkimnyoa atawapa ushuhuda wa ajabu mno
 
-kwanini ukimwona mchawi au ukipita sehemu siyo nywele zinasisimuka. (Nyongeza la swali la kujiuliza)
 
ningekuonesha picha yake hapa sema nakuogopa ww waweza kuwa wale wale mkamfanyia ulozi uncle wangu
Hapana sifanyi tena hiyo mambo mimi sasa ni mshika dini mwenye hofu na Mungu wangu...Kimsimgi nimeokoka
 
Samson hakushindwa kwa ajili ya nywele. Samson alifanya ngono kupita kiasi,akawa mdhaifu. Hata wanariadha wanaambiwa kuacha ngono wakati wa mazoezi.
 
Medium(yaani mtu anaewaleta waliokufa) anakuambia nipe kitu chochote cha marehemu ili niweze kumtafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…