Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo inategemeana na Chuo kinahusiana na nini?,mfano tulipokuwa sekondari walitukataza kufuga nywele na ndevu,sasa je nako ni ushirikina?,Ukienda Polisi na majeshi mengine nywele hairuhusiwi kufuga je nako ni ushirikina?,Ipo cku mtawahusisha watu wanaopenda kunyoa nywele zao mara kwa mara na ushirikina wakati ndiyo ustaarabu wao uko hivyo.
Nahisi kuna ukwel ndani yake....maana inashangaza hata mtoto akizaliwa inakubidi umnyoe nywele zote....sikuwahi kupata jibu ukimuacha inakuaje
wengi tu hawanyolewi na wanakuwa okay, hakuna uhusiano wo wote.
Kuna hatari gani unazoweza kutana nazo unapoa tupa ovyo nyewele zako, au kunyolewa salun na kuziach ?
nywele ni dead cells hazina athari yo yote ila ni kinyaa (karaha) kutupa nywele ovyo, ni rahisi kuingia kwenye chakula.
Nahisi kuna ukwel ndani yake....maana inashangaza hata mtoto akizaliwa inakubidi umnyoe nywele zote....sikuwahi kupata jibu ukimuacha inakuaje
ukimuacha atakosa mvuto mtoto