Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

Hili ni kweli kabisa mshana jr,nilimskia siku moja mtumishi wa Mungu akimuombea dada mmoja nywele.zake zilichukuliwa saluni zikafanyiwa mambo
 
Sasa nifanyeje......?......maana nikinyoa nitafanana na shemeji yako halafu tutakukomfyuzi........twende kilioni nilisuka praimare..........inatosha..........

Umenikumbusha huyu 1434737708630.jpg Preta nywele zako za asili ukizitunza vema zaweza kuvutia kuliko hizo wig
 
Last edited by a moderator:
Hiyo inategemeana na Chuo kinahusiana na nini?,mfano tulipokuwa sekondari walitukataza kufuga nywele na ndevu,sasa je nako ni ushirikina?,Ukienda Polisi na majeshi mengine nywele hairuhusiwi kufuga je nako ni ushirikina?,Ipo cku mtawahusisha watu wanaopenda kunyoa nywele zao mara kwa mara na ushirikina wakati ndiyo ustaarabu wao uko hivyo.

Siongelei kuhusu watu kunyoa nywele zao na kubaki vipara bali naongelea jinsi nywele zinavyohusishwa na imani za kishirikina na mapepo! Hebu Rudia tena kunisoma
 
Kuna hatari gani unazoweza kutana nazo unapoa tupa ovyo nyewele zako, au kunyolewa salun na kuziach…?

nywele ni dead cells hazina athari yo yote ila ni kinyaa (karaha) kutupa nywele ovyo, ni rahisi kuingia kwenye chakula.
 
Kitu ambacho nimefundishwa last week ni kua usipende kunyoa nywele zako mara kwa mara katika saluni moja labda uwe unamjua na kumwamini anaekunyoa. watu wenye nia mbaya na wewe wanaweza kutegea ukinyoa wakenda kuchukua nywele zako.
 
Nadhani nywele ka nywele ni mila na desturi za baadhi ya makabila kuwa ikitokea function yeyote mfano msiba ni lazima unyolewe ubaki para, but haihusiani na ushirikina, mbona mimi toka nizaliwe sijawahi nyoa nywele na niko fresh.
 
Back
Top Bottom