Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Automatically upinzani umejifuta wenyewe.
Kitendo cha wapinzani kuleta vurugu kwa makusudi kisha waishitaki nchi nje wapate kusaidiwa kuitoa CCM madarakani ni kama vile mtu ashike kisu kwenye makalio kwa mkono wake wa kushoto halafu atumie mkono wake wa kulia kushika mpini na kujipoka yeye mwenyewe kwa nguvu.
Upinzani kwisha.