issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,128
- 7,899
Wife juzi kanipigia simu kuniambia kuna watu wamekuja home hapa Nzega mjini, kata ya Nzega Mashariki, wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua.
Sasa leo ikabidi nimdodose yaani ni kina nani mpaka wagawe gas bure, akasema wao wakishakupa gas yao wewe unawapa namba yako ya NIDA hapo tayari wanakuwa na uhakika wa kura yako mwezi Oktoba.
Wakuu hii inawezekanaje si rushwa hii? Na kaya nyingi sana zilizofuzu vigezo hivyo zimechukua mitungi.
Pia soma: Serikali kugawa mitungi ya gesi kwa sharti la kutoa namba ya nida ni mkakati wa kupata kura feki 2025?