sasa utatumia mkaa mpaka lini gentleman?Wife juzi kanipgia simu kuniambia kuna watu wamekuja home wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua.
Sasa Leo ikabidi nimdodose yani ni kina nani mpaka wagawe gasi bure akasema wao wakishakupa gase yao wewe unawapa namba Yako ya NIDA hapo tayari wanakuwa na uhakika wa kura Yako mwezi Oktoba.
Wakuu hii inawezekanaje si rushwa hii? Na kaya nyingi sana zilizofuzu vigezo hivyo zimechukua mitungi
Ni wapo huko Mkuu, imekuwa general sana issac77Wife juzi kanipgia simu kuniambia kuna watu wamekuja home wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua.
Sasa Leo ikabidi nimdodose yani ni kina nani mpaka wagawe gasi bure akasema wao wakishakupa gase yao wewe unawapa namba Yako ya NIDA hapo tayari wanakuwa na uhakika wa kura Yako mwezi Oktoba.
Wakuu hii inawezekanaje si rushwa hii? Na kaya nyingi sana zilizofuzu vigezo hivyo zimechukua mitungi
Nadhani hapa itakuwa inatumika kwenda kutengeza kitambulisho feki, kama msimamizi akipewa hela atakuwa anageuka pembeni tu wafanye yaoHapo na mim ndio sijaelewa.. wataalam watueleweshe ukishagawa taarifa zako Nini kitatokea?
Kanda ya ziwa mkuuDar es salaam hakuna kitu Cha kuokotaa 🎶
Ukiona usiinamee,
Dar es hakuna kitu Cha buree🎵
Ukipewa usichukue.
Bandari salama salama, bandari salama salama x 2.
Song name Dar es sala by Marioo.
Kwani huko kwenu wapi?