Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii hapa , sitaongeza chumvi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zote zimeoshwa vema,,,, makubwa haya!Hii hapa , sitaongeza chumvi
Uchumi wa kati!
Ncha kali inapigilia mule mule kwa kweli kati kati kama uchumi wa kati ya chini...Wajinga hawaelewi wakiambiwa uchumi wa kati, ni pale kati!
Chama tawalaHii sasa hatari. Inakuwaje chama kikongwe kama CCM kinafikia hatua ya kupata viongozi wake kwa njia za aibu kama hizi?
Ndio maana wakimalizana huko wanakuja kwa wananchi na kulazimisha kutuwekea viongozi kwa njia haramu.
Hebu sikilizeni wenyewe mtoe maoni.
cc; Wakudadavuwa
YEHODAYA
View attachment 1548475
Ha haaa dah Itobo, unajua wanyamwezi huwa wanafanana hulka na wazaramo sana.Hii hapa , sitaongeza chumvi