Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OJ si amekutwa hana hatia ? baada ya kipindi kirefu cha kusota gerezaniHahahaaa....wang'atwa mbu naona wamelala saa hizi.
bado hatujalalaHahahaaa....wang'atwa mbu naona wamelala saa hizi.
Kwa uzoefu wako, unahisi kwanini mablack celebs wengi huwa wanaishia kufanya maamuzi ya ajabu na kubomoa mafanikio yao waliyoyapata kwa kipindi kirefu?
Ni kweli hizi stori tunazoambiwa kuwa wazungu wako inclined kuhakikisha waafrika wenye mafanikio wanashuka chini au ni imani potofu tu?
Ni kweli kuwa idadi kubwa ya black celebs and athletes waliopata mafanikio huishia kufilisika au kufanyiwa mizengwe kufilisika au ni sisi ndiyo tunaoverestimate hiyo idadi?
USA BABY,
nasikia jamaa is a father to one of the kardashians,Ngabu taarifa plz
haha hahahaa miafrika ndivyo tulivyoYeah hata mi nishasikia hiyo.
Baba yao na akina Kim, marehemu Robert Kardashian, alikuwa ni mshikaji wa O.J.
Sasa labda alimzunguka mshikaji wake na kuchepuka na mke wake.
Je ukilinganisha wazungu na wamarekani weusi unahisi kwanini wazungu wana mafanikio sana kuliko wamarekani weusi ingawa wanaishi nchi moja?Sijawahi kuona takwimu zozote zile zinazoonyesha kuwa watu weusi wengi walio maarufu huishia kufanya maamuzi ya ajabu na kubomoa mafanikio yao waliyoyapata kwa kipindi kirefu kulinganisha na watu maarufu wengine wa rangi zingine. Hivyo siwezi kuwa na maoni juu ya hilo.
Binafsi nadhani ni dhana potofu tu na ni kisingizio cha kukwepa kuwajibika kwa matendo yako mwenyewe. Kuwajibika kwa matendo yako mwenyewe si kazi rahisi. Ila kunyooshea wengine vidole na kusema wao ndo sababu ya madhila yako ni kazi rahisi mno.
Bila takwimu ni vigumu sana kuwa na mtazamo wowote juu ya hayo.
Je ukilinganisha wazungu na wamarekani weusi unahisi kwanini wazungu wana mafanikio sana kuliko wamarekani weusi ingawa wanaishi nchi moja?
Unazungumziaje uchaguzi wa mwaka huu na tabia ya Donald Trump katika kampeni zake. Unahisi ana nafasi yoyote ya kufanikiwa kushinda pamoja na kauli zake tata kama kupiga marufuku waislam kuingia Marekani n.k.
Kama ukiambiwa uelezee kitu kimoja ambacho Obama amefanikiwa kufanya katika urais wake, utataja kitu gani?
Kumekuwa na wimbi kubwa la waafrika huku Afrika waliojenga imani kuwa kuishi Marekani ni guarantee ya mafanikio. Je kuna ukweli katika hilo au ni imani potofu tu?
Juzi tulipata taarifa kuwa kuna mtu ameingia kwenye club ya mashoga huko Orlando na kuua watu 49. Ni nini maoni yako juu ya ushoga?
Je ikitokea umekuwa Rais wa Tanzania, ni kitu gani kitakuwa kipaumbele chako?
Fox Africa au Fox entertainment ,one of it mimi huwa nazichanganyaFOX Africa? For real though?
OJ Simpson atakuwemo?
Naikumbuka hii kesi hasa namna ilivyovuta hisia za Weusi v/s Weupe. OJ alichomoka ila kuna Wachambuzi wanasema alishinda kwa sababu ya technicality ili isionekane Judges wamemuonea Mweusi kwa sababu aliyemuua ni Mzungu.
OJ si amekutwa hana hatia ? baada ya kipindi kirefu cha kusota gerezani
Mkuu hata mimi niliangalia kesi yake mwanzo mpaka mwisho, binafsi naona O.J ulihusika kwa mauuaji hayo ya kutisha, nawakili wake walijitahidi sana kumtetea hasa yule mswahili, kama Jaji hasingekuwa Mmarekani mwenye asili ya Japan kesi ile ingehamuliwa kivingine kabisa.
ESPN unacheki kupitia website au kingamuzi gan hapa bongo maana hii channel nilikuwa naingalia kupitia dstv wakaitoaWanayoionyesha sasa ni marudio ya Part.1 iliyorushwa J'mosi iliyopita.
Part. 2 itakuja ikiisha hii encore presentation...9pm EST.
mimi nilisoma somewhere ili sikumbuki vizuri, hiyo movi sijaifuatiliaKwani OJ aliwahi kusotea gerezani kweli? Mbona sikumbuki hilo!
mimi nilisoma somewhere ili sikumbuki vizuri, hiyo movi sijaifuatilia
Khaaa eti mla vumbihahahaha wazee wa mamtoni waje huku jamaa mla vumbi anawaita.
swissme