TANZIA O.J.Simpson afariki dunia. Alichomoka kesi ya mauaji ya mkewe na rafiki yake wa kiume pamoja na ushahidi kumnyooshea kidole

Akili kubwa sana walitumia "Dream team" either kuthibitisha kutokua na hatia au kumchomoa mwamba kwenye msala..

Jamaa kila angle alikua anakamatika, kama kweli "THE LAPD" au Drugs dealers wali mframe mwamba, hapana shaka na smartness waliyotumia.

Kumbuka hii case mpaka leo jamaa, kuna maswali bado yana yanaacha majibu alichomokaje?

Wengine wanasema, ile media coverage, umaarufu na hasa rangi, vilisaidia kumtoa, kwa maana ya kwamba kwa kipindi kile cha ubaguzi mkali, kuna mazingira flani majaji walifanya maamuzi kwa kuzingatia udhaifu wa racial yake ili at least kuonesha jamii kama hakuna ugandamizaji.
 
Dream Team kweli ilikuwa ni dream team!

Hawa jamaa, wakiongozwa na Johnnie Cochran, ilikuwa vigumu kwa Marcia Clark na Chris Darden kuwashinda.

Pia, timing ya kesi haikuwa favor upande wa prosecution.

Kumbuka, LA ndo ilikuwa imetoka kwenye vurugu za Rodney King mwaka 1992 baada ya video yake akipigwa na polisi wa Kizungu ilipotoka mwaka 1991 na baada ya hao mapolisi kupatwa hawana hatia kwenye kesi iliyofunguliwa dhidi yao.

Halafu papo hapo, mmoja wa ma detectives aliyekusanya ushahidi kutoka eneo la tukio, alirekodiwa akitumia lugha ya kibaguzi dhidi ya watu weusi.

Wazee wa baraza/ jurors, nadhani 8 kati ya 12 walikuwa weusi.

Hayo yote ukiyajumlisha na OJ kujaribu kuvaa gloves ambazo zilikutwa eneo la tukio, na alipozivaa hazikumtosha!!

It was game over.

Dream team ya OJ:

Robert Shapiro, Johnnie Cochran, Carl Douglas, Shawn Chapman Holley, Gerald Uelmen, Robert Kardashian, Alan Dershowitz, F. Lee Bailey, Barry Scheck, Peter Neufeld, Robert Blasier, and William Thompson.
 
RIP...
Kila nikiona sura yake namkumbuka Dave chappelle na ile comdey yake kuhusiana na huyu jamaa na tuhuma zake za kuua.
 
RIP.

Huyu jamaa alifanya American Judiciary system ionekane a Joke... Hususan baada ya kutoa kitabu cha Ku-joke kilichofanyika

Anyway nikim-qoute
Chris Rock... I don't say O.J. Did it...., But I understand....
Hata dave chappelle ana joke yake akiwa stejini anasema... Kila black anajua he did it
 
Hata dave chappelle ana joke yake akiwa stejini anasema... Kila black anajua he did it
Nadhani msemo wa getting away with murder (literally) ukitaka concrete evidences na Case Studies za Kutosha wewe Angalia American Judiciary.

In short some people are making it a mockery....; OJ alibebwa na Fame as well as Ule U-Black na U-White ulipelekea pressure ya watu kutoa Hukumu waliyotoa - Hii ilikwenda the other way sababu na watu weusi wamekuwa wakikumbwa na uonevu Kisheria sababu ya biasness...

Hata ukija kwenye Siasa watu walitaka kumu-Impeach Bill Clinton sababu ame-danganya under oath lakini upuuzi aliofanya Trump unaonekana Kosher....
 
Kwa mtoto wake. Wakati anaachiwa mwaka 2017 sharti mojawapo si ilikuwa ajulikane atakwenda kuishi wapi na nani ataendesha maisha yake??

Unajua ni kwa nini sharti Hilo liliwekwa!!??
Sijui unachoongea lakini OJ hakuwa maskini baada ys kesi zote mbili. Alikuwa analipwa pensheni yake ya NFL ambayo nina uhakika ilikuwa inatosha kuishi maisha mazuri tu. By the way kama OJ angekuwa fukara ingekuwa big news.
 
I also remember there was crazy rumour that Chloe Kardashian was OJ's child.
 
Wewe ndio huelewi kbsa story ilivyo
 
Naona kila mtu anaamini huyu jamaa alimuua kweli mkewe . Hivi hamna possibility yoyote kwamba huyu mwamba alikuwa framed na watu wasiomtakia mema?
 

Naona kila mtu anaamini huyu jamaa alimuua kweli mkewe . Hivi hamna possibility yoyote kwamba huyu mwamba alikuwa framed na watu wasiomtakia mema?
Ushahidi dhidi yake ulikuwa overwhelming na ana history ya domestic violence.
 
Huyu baba yao kina kardasian so alikuja kubadili jinsia baadae na kua mama yao?
 
"Kifo ni kifo tu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…