TANZIA O.J.Simpson afariki dunia. Alichomoka kesi ya mauaji ya mkewe na rafiki yake wa kiume pamoja na ushahidi kumnyooshea kidole

TANZIA O.J.Simpson afariki dunia. Alichomoka kesi ya mauaji ya mkewe na rafiki yake wa kiume pamoja na ushahidi kumnyooshea kidole

Elon Musk pambana na tiba ya kansa sio macho ambayo hamna jipya. Hiyo ndio imemuondoa boss wa Apple.
 
Hii kesi naikumbuka ilikua kama movie vile,ilifuatiliwa sana kama vile leo hii watu wanavyofuatilia mechi za UCL

Kumbe mwamba alifariki,

R.I.P OJ Simpson.
 
Back
Top Bottom