Blaszczykowski
JF-Expert Member
- Dec 20, 2022
- 310
- 1,100
- Thread starter
- #121
Imekuwaje tusaidiane mawazo .Dah kama unanisema Mimi baada ya kupata watoto ananichapa stress mpaka nataka nikimbie mji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekuwaje tusaidiane mawazo .Dah kama unanisema Mimi baada ya kupata watoto ananichapa stress mpaka nataka nikimbie mji
Kuna mahali mmepwaya kiukweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi tuseme wanawake wametuzidi akili? Mbona threads za aina hii zimekuwa nyingi?
Wanaume tumekuwa watu wa kulia lia tu kutwa kuumizwa na hawa wasaidizi wetu
Hata mimi nimeliona hilo. Mabadiliko yanahatajika kwa wanaumeKuna mahali mmepwaya kiukweli
Wewe acha kupotosha watu.Acheni fikra potofu mzee tembea ushuhudie
Wewe waarabu ukiwatazama akili zao unaona zipo sawa?!Mimi naongea pia ushahidi njoo Muscat Alsaid Loyer family njoo uwone maisha yalivyo bora muunganiko wa familia ulivyoshamiri furaha na kujuana vizuri
Halafu utazame familia za kiarabu na kihindi huwezi kosa mazezeta wawili au watatu katika kila uzao wa mtu. Na hata wao namna walivyo, bishana na muhindi au muarabu utaelewa wanashida gani.Mimi naongea pia ushahidi njoo Muscat Alsaid Loyer family njoo uwone maisha yalivyo bora muunganiko wa familia ulivyoshamiri furaha na kujuana vizuri
Kwan wewe unaoa kuendeleza koo ulizo kuta au unaanza kutengeneza ukoo wako?!Izo laana zipo ukishakuwa black tayari laana shida zote zipo Africa. Tatizo mnakalili ukweli ndio upo ivyo matatizo ya ndoa koo pia uchangia zikiwa tofauti muhaya na mchaga kuna ndoa apo
Mambo ya kuoana wenyewe kwa wenyewe ilikuwa ni matokeo ya kukosekana exposure na watu kuishi sehemu moja. Miaka hii watu wana exposure wanajua mikoa fulani kuwa watu fulani wanasafiri na kutembea hii tayari inawapa nafasi ya kukutana na watu tofauti na kupata access ya kujuana na watu wengi tofauti.Ushawahi ona Muha na Mchaga ,Waha awana matatizo kwenye ndoa zao wanashika wenyewe kwa wenyewe kataa ukubali
Mbona unawaza kinyume nyume kama tupo zama za ujamaa?yaani suluhisho la matatizo ya ndoa yatatatuliwa kwa kuoa kwenye ukoo wako!!ukoo unaweza kuwa na watu zaidi ya 2000!unawafahamu wote?siku Hz kabila na tabia zake zimeishapitoza maana,wazazi wa mama ni mkinga na mmakonde,wazazi wa baba ni mchaga na muhaya,nikazaliwa Mimi,Tena nikakulia Unyamwezini,ninajua kisukuma,na kigogo,na kinyakyusa,Mimi nimeoa mmanyema!!sasa hapo mwanangu atakuwa kabila gani?kwanza kazaliwa mjini,hajuhi lugha yoyote ya wazazi,zaidi ya utandawazi!!sasa wewe umekazania kutafuta wa ukoo wako,ukikutana na wa dizaini hii,hiyo ndoa haitadumu maana unawaza kijima zaidiNaumia sana kuona wanawake kumdhalilisa waume zao pindi tu kunapotoke sitofahamu na kuachana.
Leo bora tuwafate waarabu life style yao tu japo si wote. Kuoa msichana asietoka mbali na familia naona itapunguza ukakasi na matatizo ya kudhalilishana kuliko unaenda kuoa 10000 miles, ndugu wa mke na mume ata akuna mawasiliano na kujuliana hali.
Mazingira humpa msichana kufanya upumbavu wowote bila ata kujiuliza mara mbili.
Mawazo yangu tu hayo.
HOANi oha
Ulivyoandika ni dhahiri haujawahi kutembea na ndugu yako katika ukoo.Hii imekaa poa sana,
Hata ukiwaza kugombana unakumbuka ni ndugu yako unamuonea hata imani au huruma. Yaan kama ndugu yake unakua pia na jukumu la kumlinda hivyo unamuepushia yale mabaya.
Tembeeni mjifunze nyie achenzi kuwaza negative mfumo ni mzuri wa waarabu matatizo yapo ila si kwa sisi wabongo visilani kila day .Ulivyoandika ni dhairi haujawahi kutembea na ndugu yako katika ukoo.
Sasa nikwambie, hata kama ni ndugu, mkiingiza mapenzi tu, sura ya undugu huishia hapo na mapenzi kutawala.
Treatment za kimapenzi ni zile zile tu, penzi mkilianzisha halina macho ya kuona huyu ndugu huyu siye!
Tena penzi la ndugu mwisho wake unaweza kuwa ni mbaya zaidi kuweza kuleta sintofahamu katika ukoo mzima.
Amna kitu kama icho mazezeta spain wapo tena wengi ,bongo wapo tena wengi so mnawaza ujinga jamani eti waarabu na wahindi daaaaHalafu utazame familia za kiarabu na kihindi huwezi kosa mazezeta wawili au watatu katika kila uzao wa mtu. Na hata wao namna walivyo, bishana na muhindi au muarabu utaelewa wanashida gani.
Kwanini uwo mfumo tusiubebe sisi ili kupunguza matukio?Hao waarabu kinachowabeba ni mfumo dume.
Mwanamke ni mwanamke tuu, hata uoe Dada yako.
Wewe waarabu ukiwatazama akili zao unaona zipo sawa?!
Hee basi ni WOWA[emoji16][emoji16][emoji16]Hivi ni OA au OWA??
Tuanzie kwanza hapo
Maadili hakuna siku hizi..wanawake wamekuwa empowered na mambo ya gender equality mwisho wa siku wanataka kila kitu 50/50.Wanawake wanavuka mstari wa haki zao kama wanawake.Wanawake wanataka kuwa kama wanaume.Naumia sana kuona wanawake kumdhalilisa waume zao pindi tu kunapotoke sitofahamu na kuachana.
Leo bora tuwafate waarabu life style yao tu japo si wote. Kuoa msichana asietoka mbali na familia naona itapunguza ukakasi na matatizo ya kudhalilishana kuliko unaenda kuoa 10000 miles, ndugu wa mke na mume ata akuna mawasiliano na kujuliana hali.
Mazingira humpa msichana kufanya upumbavu wowote bila ata kujiuliza mara mbili.
Mawazo yangu tu hayo.