ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
- Thread starter
-
- #21
ZeMarcopolo,
Umefatilia ule uzi wa Magwiji wapiganaji Wanasheria watakao iwakilisha CORD pale Supreme Court? ni Balaaaa tupu ndugu. Pia ile Barua ya Mungiki aliyoitoa CJ Dr Willy Mutunga Iliwachefua sana Uhruto..Kiasi kwamba inasemekana Wasingemwongeza Second Term. Sasa basi,nina wasiwasi Kunawezekana Uraisi ukawa wa Wiki mbili thereafter ukaota mbawa. Dr Willy Mutunga si Mkikuyu, so no guaranteed favour!
Yetu macho,
Ila Obama akifanya mchezo wale al shabab wanaweza kuwa na free heaven pale somalia. Jamaa anaweza kuacha al qaida wawekeze mizizi kwenye horn of Africa...
Kauli ya John Kerry baada ya Kenyatta kutangazwa mshindi ni hii
"On behalf of the United States of America, I want to congratulate the people of Kenya for voting peacefully on March 4 and all those elected to office. Across the country, Kenyans turned out by the millions to exercise their most fundamental democratic right. I am inspired by the overwhelming desire of Kenyans to peacefully make their voices heard, and I applaud the patience they have shown as votes were tallied.Foremost in our minds is a desire to see the will of the Kenyan people expressed freely and fairly. We strongly urge all parties and their supporters to peacefully address any disputes with todays announcement by the Independent Electoral and Boundaries Commission through the Kenyan legal system, rather than on the streets. These elections are an historic opportunity for the people of Kenya to come together to build a better future. Since its independence in 1963, Kenya has been one of Americas strongest and most enduring partners in Africa. We stand with you at this historic moment and will continue to be a strong friend and ally of the Kenyan people."
si kauli nzuri hata kidogo kwa Jubilee. Uhuru afanye kazi ya ziada kukubalika kimataifa kama atavuka kizingiti cha Raila mahakamani
Hii ngoma bado mbichi.
Statement ya Ban Ki-moon hii hapa:
"The Secretary-General has noted the results of Kenya's presidential election announced today by the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC). He congratulates the people of Kenya for their impressive determination to participate peacefully in the elections, and for the patience they have demonstrated while awaiting the results.
The Secretary-General spoke by phone yesterday with Mr. Kenyatta and Mr. Odinga. He reiterated his call for both leaders to send clear messages of calm to their supporters, and he reminded them of the commitments they have made throughout this process to channel any electoral grievances through the established legal avenues. He therefore welcomes the measured statements both have made since the announcement of results. Kenyans are depending at this time on wise and responsible leadership."
Hivi kweli tumeelewa Rais Obama alichomaanisha au tunatoa comments "kichwa chini miguu juu " tu?
Statement hii ina ubaya gaji mkuu!
Statement hii ya kidiplomasia inasema hivi "UCHAGUZI WA RAIS KENYA HAUJAISHA".
ZeMarcopolo Link haipo mkuu!
Wait a minute bro! do not read too much in that remark!! kauli hiyo haina maana ya kulinganisha Kenya na Syria moja kwa moja bali ni lazima tukubali kwamba hizo nchi mbili zimekuwa "News makers" kwa kiasi kikubwa katika siku za karibuni for obvious reasons, and their stories needed to be told; please do not jump the gun!
Mkuu MTK,
Kweli wa-Kenya wa mtandaoni inawezekana Kiingereza chao ni kama chetu ndiyo maana wamehamaki. Mh. Rais Obama hajafananisha Syria na Kenya ila amebainisha maeneo ya hatari kutokana na sababu mbalimbali mfano Syria ni vita ya wenyewe kwa wenyewe na Kenya ni masuala ya wapiganaji wa Al-Shabab ndani ya Kenya huko Garissa n.k
ZeMarcopolo,
Umefatilia ule uzi wa Magwiji wapiganaji Wanasheria watakao iwakilisha CORD pale Supreme Court? ni Balaaaa tupu ndugu. Pia ile Barua ya Mungiki aliyoitoa CJ Dr Willy Mutunga Iliwachefua sana Uhruto..Kiasi kwamba inasemekana Wasingemwongeza Second Term. Sasa basi,nina wasiwasi Kunawezekana Uraisi ukawa wa Wiki mbili thereafter ukaota mbawa. Dr Willy Mutunga si Mkikuyu, so no guaranteed favour!
Yetu macho,