ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
- Thread starter
- #21
ZeMarcopolo,
Umefatilia ule uzi wa Magwiji wapiganaji Wanasheria watakao iwakilisha CORD pale Supreme Court? ni Balaaaa tupu ndugu. Pia ile Barua ya Mungiki aliyoitoa CJ Dr Willy Mutunga Iliwachefua sana Uhruto..Kiasi kwamba inasemekana Wasingemwongeza Second Term. Sasa basi,nina wasiwasi Kunawezekana Uraisi ukawa wa Wiki mbili thereafter ukaota mbawa. Dr Willy Mutunga si Mkikuyu, so no guaranteed favour!
Yetu macho,
Uhuru yuko kwenye jitahada za kumvuta Raila kwenye serikali lakini sasa kwa katiba hii sidhani kama atakuwa na offer yenye caliber ya Raila!
Akifanikiwa kumshawishi aachane na maneno ya kesi mambo yatakuwa Rais.
Kiambu Mafia nao watadeal na Mungiki head-on...