Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
Tanzania wanatumia kama kinga kuficha umbumbumbu walio naoTanganyika mnapambana na Udocta wa kupewa huku Obama hakutaka kabisa kuItwa Dr
Tanzania wanatumia kama kinga kuficha umbumbumbu walio naoTanganyika mnapambana na Udocta wa kupewa huku Obama hakutaka kabisa kuItwa Dr
Huyo jamaa alipataje hiyo Nafasi? Kuongea kwenyewe mtihanHivi Makalla hajapewa Udokta? Make hana utofauti na wenzake!
Jamaa hewa sana zaidi ya mwenyekiti wake!Huyo jamaa alipataje hiyo Nafasi? Kuongea kwenyewe mtihan
🤣Kuna jamaa muongo humu alisema JD Vance anajiita "Juris Doctor" Vance... Yaani hajui kabisa kuwa jamaa anaitwa James David Vance (kifupi JD Vance)😅😅🤣
Sheria za USA zinakataza huo upuuzi. Hautosikia Rais anaitwa Dr au ProfesaTanganyika mnapambana na Udocta wa kupewa huku Obama hakutaka kabisa kuItwa Dr
si muhimu na wala haina maana sana aitwe ama asiitwe,Tanganyika mnapambana na Udocta wa kupewa huku Obama hakutaka kabisa kuItwa Dr
Obama alipewa udokta 15 lakini hakujiita dokta - ulimbukeni tuTanganyika mnapambana na Udocta wa kupewa huku Obama hakutaka kabisa kuItwa Dr
Hmm….sheria gani hizo zinazokataza? Unaweza kunipa chanzo au vyanzo….?Sheria za USA zinakataza huo upuuzi. Hautosikia Rais anaitwa Dr au Profesa
There is no law in America that restrict, It's just a curtural thing .Hmm….sheria gani hizo zinazokataza? Unaweza kunipa chanzo au vyanzo….?
Askofu Pengo na phd tangu miaka ya 70's lakini hujawasikia anaitwa dr pengo🤣🤣🤣Tanganyika mnapambana na Udocta wa kupewa huku Obama hakutaka kabisa kuItwa Dr
Lakini si umesema sheria za USA zinakataza huo upuuzi…There is no law in America that restrict, It's just a curtural thing .
Uko sahihi Nyani. Lakini hata Marekani kuna watu wenye JD tu lakini wanataka kuitwa Dr. Ni wachache, lakini wapo.🤣
Kuna watu waongo sana aise.
J D Vance ana Juris Doctor degree kama ilivyo kwa Obama, Kamala, Bill na Hilary Clinton na wengineo.
Lakini hiyo Juris Doctor siyo PhD. Juris Doctor ndo jina tu la shahada ya sheria Marekani.
Ila Watanzania wakiona neno ‘Doctor’ nje ya medani za uganga, wanafikiri ni PhD 🤣.
Sasa nimeelewa kwa nini hujiiti Dr. Nyani Ngabu ingawa una PhD.Hmm….sheria gani hizo zinazokataza? Unaweza kunipa chanzo au vyanzo….?
This is painful.There is no law in America that restrict, It's just a curtural thing .
Hahaha….kwa jinsi binadamu walivyo, sitoshangaa kama wakiwepo.Uko sahihi Nyani. Lakini hata Marekani kuna watu wenye JD tu lakini wanataka kuitwa Dr. Ni wachache, lakini wapo.
Amandla...
🤣🤣Sasa nimeelewa kwa nini hujiiti Dr. Nyani Ngabu ingawa una PhD.
Amandla...
Kwahiyo tumsaidie vipi huyo Obama?!!!Tanganyika mnapambana na Udocta wa kupewa huku Obama hakutaka kabisa kuItwa Dr