Sihami Tanzania ng’o!😅Naitwa CPA Dr. Professor Mhasibu.
Katika historia ya Marekani, Woodrow Wilson (28th U.S. President) ndiye Rais pekee wa Marekani aliyekuwa na PhD. Ya kweli, sio kama ya Mama Abdul.Sheria za USA zinakataza huo upuuzi. Hautosikia Rais anaitwa Dr au Profesa
NomaKuna jamaa muongo humu alisema JD Vance anajiita "Juris Doctor" Vance... Yaani hajui kabisa kuwa jamaa anaitwa James David Vance (kifupi JD Vance)😅😅🤣
Sasa hawa wa kwetu waliofeli form 4 watafanyaje kujipambanua? Lazima wajibandike PhD ili waogopweTanganyika mnapambana na Udocta wa kupewa huku Obama hakutaka kabisa kuItwa Dr