Baba yake obama alikuwa best student Harvard university wazungu wapigwa na butwaa walitaka kumtumia kwenye siasa ila walichelewa ikabidi wamfuatilie ndio wakampata obama na obama babu yake ni Adolf Hitler upande wa mama ndio maana aliona kawaida sasa mtu katoka kizimkazi achukie kuitwa doctor.
wenzetu wanaandaa maraisi sisi maraisi wanatokea by chance yaani mgombea uraisi mmoja aliulizwa na professor assad utafanya ukishinda uraisi anasema nitajua huko huko nikishinda ukisoma marekani walivyomuwinda Obama na kumpa uraisi utajua kweli Africa tuna safari ndefu na ndio best president currently kwa maraisi wenzake walikuja baada yake kuna kitabu kinaitwa "DREAM FROM MY FATHER " Kaelezea mambo mengi sana.
I'm out.