Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

Kwa mateso Rais Kenyata aliyompa baba yake Obama hadi akafa maskini, a Harvard Graduate, hakuna jinsi Obama atampenda Uhuru Kenyata. Ni historia ila huwa haitaisha kwa kuwa Obama anafahamu kila kitu katika picha ile. Rest in Peace Mzee Obama. Marais wengi wa zamani wa kiafrica waliogopa sana wasomi hasa wale waliokuwa na uwezo wa kupambanua mambo na kuyaweka hadharani!!! Unafukuzwa kazi, unaundiwa zengwe, unatafutiwa ajali mpaka ufe au ulemae milele kama alivyolemazwa baba yake Obama. Baba yake Rais Obama hakuyakwepa haya.
 
hahahahaha sasa huyu naye alikuwa anafanya nini..... hawa ndio majajususi wa kenya....? ama alikuwa anaangalia usalama wa beast





Ndo jasusi lenyewe hilo...teh teh teh
 

hizo mbwembwe akifika saud arabia huwaga hafanyi...

wale ndo wanaiwezesha america kwasasa
 
Watanzania tuna roho za kipumbavu sana ndio maana tunazidi kuwa maskini kila kukicha..
 
Wajua, kama ingekuwa ni mkenya anaonyesha passion ya aina hii kwa wamerika and everything American, watanzania wenzako wangedai jinsi wakenya bado mindset yao inatawaliwa na wakoloni...
 
Watanzania tuna roho za kipumbavu sana ndio maana tunazidi kuwa maskini kila kukicha..

Fuatilia citizen kenya social media club utakuta mjadala wa why katumia almost long time kuongea na mtoto ... pia hakumpa handshake ya head of state kampa brotherly one... obama hakufocus kwa president kabisa... nenda you tube compare na visit ya ghana, south africa na nchi zingine and compare.
 
In both countries alikaribishwa karibu, feel at home. Cjui ni wapi alijisikia nyumbani na kufurahia. Wanajamvi watapata majibu
 

sure mkuu
 
kweli kwetu kulikuwa na ulinzi lakini huu wa kenya noma,nimeona kuna kama police officer kama 10,000 wamemwaga.
 

Mila na desturi ya mwafirika ukirudi nyumbani hupigiwa mizinga 21.Welcome home son ,walk tall,walk proud -shine ebony son.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…