Kwa mateso Rais Kenyata aliyompa baba yake Obama hadi akafa maskini, a Harvard Graduate, hakuna jinsi Obama atampenda Uhuru Kenyata. Ni historia ila huwa haitaisha kwa kuwa Obama anafahamu kila kitu katika picha ile. Rest in Peace Mzee Obama. Marais wengi wa zamani wa kiafrica waliogopa sana wasomi hasa wale waliokuwa na uwezo wa kupambanua mambo na kuyaweka hadharani!!! Unafukuzwa kazi, unaundiwa zengwe, unatafutiwa ajali mpaka ufe au ulemae milele kama alivyolemazwa baba yake Obama. Baba yake Rais Obama hakuyakwepa haya.