Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

Yaani Obama kuja siku mbili tuu watu wanasimamisha shughuli zote za kitaifa, sijui ingekuaje kama angekuja Kuishi kabisa? Nafikiri wangempa kabisa na.................................

Wampe nini
 
Nimeona Rais Kenyatta akibeba kiti alichokalia Obama kukirudiaha nyuma baada ya Obama kusaini kitabu cha wageni,baadae akaja ofisa mmoja kukirudiaha zaidi.
Dar Rais anakuwa kaofisa mbele ya RAIS
 

Hivi kwanini tunapenda kukariri na kukuza vitu namna hiyo?? Presidential handshake ikoje?? Ni ya lazima??

Kama dhamira yake ilikuwa kumu ignore Uhuru wala asingeonyesha kumchangamkia hasa baada ya ule utambulisho
 
pale kaja kusalimia ndugu zake wa baba mmoja
 
Angalua hapo tofauti ya Obama alipokuja TZ na Leo Kenya. Mengine mtasema wenyewe naona watu wanataka kukataa ukweli na kupotosha...
Wamarekani walishasema rais wao anakwenda kwenye nchi ambayo ni kitovu cha ugaidi, ingawa wakenya walikasirika sana na huo msemo.
 
Mila na desturi ya mwafirika ukirudi nyumbani hupigiwa mizinga 21.Welcome home son ,walk tall,walk proud -shine ebony son.

Kaangalie mashujaa wa kiafrika wanavyopokewa wakirudi nyumbani
 
Anyway ya ngoswe tumwachie ngoswe ngoja tupambane na BVR zetu kuzuia goli la mkono
 
usa apart from military haina chochote why is usa so concerned about irans nuclear ongoing??[/QUOTE]

Mkuu hivi hapa jamii forums unadhani kabisa kuna mtu unaweza kumuokota kirahisi hivi, yaani unaaminisha watu US imeendelea kijeshi tu nyanja zingine haina chochote! Hapa lazima kuna namna kati yako na US
 
usa apart from military haina chochote why is usa so concerned about irans nuclear ongoing??

Mkuu hivi hapa jamii forums unadhani kabisa kuna mtu unaweza kumuokota kirahisi hivi, yaani unaaminisha watu US imeendelea kijeshi tu nyanja zingine haina chochote! Hapa lazima kuna namna kati yako na US
 
Unaangalia channel gani? Nimeanza kufuatilia tangu saa 12 jioni hakuna hicho unachokisema. Ninachoona ni maandalizi tu ya mapokezi. Si KBC, K4 wala CITIZEN TV wanapoonesha. Hebu kuwa makini na uchokisema. Sio vema kupotosha umma.
 
Check sasa muendelezo wa mapokezi kwenye KBC TV. Tayari Obama yupo Kenya. Live ilikuwa saa 2:30 ndipo alipotua Kenya na airforce one. Pia Azamtv walirusha live kijipande kwenye taarifa yao ya habari ya saa 2
 

Aiseee sijawahi soma comment ya kifala kama hii....for real unawaaibisha watz. You look handsome when you write nothing rather than exposing your level of stupidity.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…