Ni kweli m-pesa ilibuniwa na kijana wa kikenya!my friend inasemakana after south africa kutoa tv za north africa,wanaofata kwa maswala ya media sub sahara africa after sa ni wakenya!tena wanahabri wao very compent,angalia wanaotangaza,cctv africa baadhi wanatoka kenya,bbc focus on africa baadhi wanatoka kenya(sophy ikenye)alafu nimekua nikifatilia pitia k24,ktn,citizen,ntv my ndugu live coverage tena wana camera za kisasa,tangia anatua jkia,anapita mombsa road,to town live! Live! Asubui obama ana irive gigiri live!live!