MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Ha ha ha ha ha.........Mkuu si unajua Al Shabab wanakuja kwa kuvizia.
Kufikia sasa bado mmeshindwa nyie, hamna tukio hata moja la ugaidi, mtazimia sana nyie mayeboyebo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha ha.........Mkuu si unajua Al Shabab wanakuja kwa kuvizia.
Kwani ni uongo?TV za Kenya zinaonyesha recorded ziko nyuma kama dakika 5,anasema mpesa ilianzia Kenya
Mamma mia!!!! mkononi kavaa Rolex,oregon- sijui hii imenunuliwa na walipa kodi wa USA au KENYA
sikutaka kuchangia ila nachangia kwa ajili yako, unajua maana ya hiyo tick mbele ya jina? unatumia twitter? next time kama hauna uhakika na kitu ukae kimya maana unajiaibisha. kwani kuna kipi cha ajabu hapo hadi uhisi aaccount ni fake? acha ushambaHii acc fake siyo ya Obama.
Ziara ikiisha itarudishwa dukani bibi anakula bata mpaka kuku wanaona wivu mwee.
Mwisho wake umekaribia
Poa mwisho lakini keshajenga c.v .
Mleta mada MeinKempf nimekipenda sana Kiswahili chako. Hiki ndicho Kiswahili cha uandishi, sio zile pumba watu huandika humu na kudai eti wao ni wacheshi kisa ni wazawa wa Tanzania.
Mbona kenyatta akienda marekan au nchi nyingine airport haifungwi????
Sisi Wakenya sio saizi yetu, wametuacha tunatembea, wao wanakimbia kwa kasi.