Watakutana Addis Ababa.....Sio Nairobi
hao askaru wa kenya ni nyanya tu,marekani wanajua na lazima wajiweke sawa kiulinzi

Ethiopia...Mkuu Obama kuna nchi anatokea katika ziara yake ama anatoka usa moja kwa moja na je ataenda nchi gani baada ya Kenya?
Swali la mwisho je dr jk amealikwa katika hayo mapokezi?
Naomba mnjibu maswali yangu yote...nitarudi
Innocent till proven guilty.Je Obama Atasalimiana Na Ruto? Obama Ni Muumini Wa Haki Za Binadamu Na Ruto Bado Anatuhumiwa Kwa Mauji, Je Hili Limekaaje Kimaadili?