Obama's - Post Election Thread

I expect the least anyway of him among all the past presidents of US. Not cause is black and thin and tall but a secret idea!
 
..halafu Hillary alishagombana na kujaribu kumfukuza kazi Rahm Emanuel. sasa kama sijui kama huu uteuzi wa Rahm ni ishara nzuri kwa Hillary.

wandugu,

..hiyo hapo juu ni maneno yangu mwenyewe.

..sasa kuna program nimeangalia ambayo imenifanya niamini kwamba Rahm Emanuel na Hillary Clinton wamemaliza tofauti zao.

..pamoja na hayo nina wasiwasi kama Obama anaweza kumpa Hillary a high profile post kama secretary of state. pia sidhani kama atampa secretary of health ashughulikie suala la Health care, pamoja na ukweli kwamba Hillary ni mmoja kati ya wakereketwa wa suala hilo.

..nilisikia kwamba Hillary aliwahi kuwa short listed na Walter Mondale kuwa secretary of education. bahati mbaya Mondale alishindwa vibaya sana na Ronald Reagan.

..sasa kwa habari hiyo labda Obama atamteua Hillary Clinton kuwa secretary of education.

NB:

..naona Dr.Lawrence Summers ni leading contender kuwa secretary of treasury. kuna wanaodai kwamba uteuzi wake ktk wakati mgumu wa uchumi usikwazwe na suala dogo[petty] kama kauli yake iliyoelekea kudhalilisha wanawake.

..John Kerry naye inasemekana atapewa asante yake kwa kuteuliwa secretary of state. lakini hapo hapo kuna wasiwasi kwamba, Obama akiteua maseneta wengi, basi itaathiri uwezo wa democrats kusukuma agenda zao in the senate.
 
GT,

Kama ni guilt by association, basi watu wengine wanaweza ku argue wakristo hawafai kupewa ofisi.

Huyu dada mwenyewe kafanya mchemko gani?

Otherwise haya mambo ya guilt by association yatakuwa na tofauti gani na fear mongering za McCain kuhusu uhusiano wa Obama na Rev. Wright?

For sure Obama atachemsha, na wengine tushaona anachemsha, lakini hujaweza kutuwekea information zinazoweza kuonyesha mchemko.

Kwa sisi ambao hatujasoma Hindu Nationalism movement hiyo hideous nature ya RSS haiko apparent, kwa hiyo kama unapoint inayomlink huyu mdada directly na hao ma RSS itoe hapa.

Ama sivyo itakuwa less than case ya Joseph Ratzinger ambaye alikuwa katika Hitler youth kutokana na zeitgeist iliyokuwepo Germany kote wakati huo na gullibility ya the german people (to an extent, only to an extent)

Kwa hiyo kama unakuja kumuua mtu, mwaga nondo zichekechwe, sio unakuja nusunusu kama unapima maji.
 
Last edited:

Great article, thanks for posting it. Anyone celebrating Obantu's win is in essence celebrating the fall of America. I couldn't put any better myself.

 
Totally baseless, ukisoma hiyo so called link hakuna lolote. More evidence please!! Obama will do fine, tatizo expectation ziko unrealistically high, so kutowaboa watu something extra ordinary will have to happen.
 

Not any more disturbing than his previous associations. Compared to Bill Ayers or Farrakhan or Rev. "potty mouth" Wright I would say Obantu is improving his calibre of associates. Perhaps you would rather Obantu surround himself with Bantus only?
 
Watu walisema hatashinda!Ameshinnda sasa wanasema atachemsha!Mhuu Go Obama utafanya vizuri tu!
 
Not any more disturbing than his previous associations. Compared to Bill Ayers or Farrakhan or Rev. "potty mouth" Wright I would say Obantu is improving his calibre of associates. Perhaps you would rather Obantu surround himself with Bantus only?
Go to hell.
 

Wewe ndiyo unaanza kuchemsha tena big time, kama unajua issue kwa nini unakuja nusunusu na kuanza kutishia member waje kamili kamili kudiscuss hii issue, unatutishia picha ya simba hapa. No more details no right to frighten people here, mwaga vyote halafu ndiyo uone watu wanakuchambuaje hapa.
 
Obama ana msimamo gani kuhusu comrade mugabe na zimbabwe yake!!???

Nikipata jibu hili nitajua kama atashinda au yaleyale!!!!!!
 



obama PROMISED THE WORLD that his administration will run an ETHICAL FOREIGN POLICY but running an ethical foreign policy requires some careful appointments on who will advise him on SENSITIVE MATTERS such as those related to INDIA and KASHMIR

And this is where this new appointment comes in.But before i move forward you guys need to know WHO ARE the RSS and what sort of impact do they have in India and how their extremist views have left millions of people dead.




If some of you remeber back in 90's there extremist right wing political party The Bhartiya Janta Party (BJP), which came to power using its Hindutva card,


(For you who dont know what HIDUTVA which literally means 'Hindu-ness' or Hindu nationalism. It is the nationalist politics of Hindu assertion and is projected through an emphasis on Hindu rights, Hindu nationalism and Hindu rashtra [nation]. This involves the fundamental question of a definition of a nation, nationhood and national identity from a Hindu perspective. )

For brothers who wants to know more plse read here:





Http://.../wiki/Hindutva - Wikipedia, the free encyclopedia


Now the BJP, With every election it intensifies its Hindutva agenda. The other members of the Sangh Parivar, specially the Vishva Hindu Parishad (VHP), tend to be more irresponsible as they do not have to govern. The VHP assumes extremist postures and threatens minorities. It is this irresponsible extremism which resulted in the Gujarat carnage which again shook the world. The BJP Government tends to be buffeted between the VHP extremism and National Democratic Coalition compulsions. It thus fails to adopt consistent policies.


where does this BROAD COMES in?


Her family or the SHAHS as they are know apparently remain active in Houston’s Indian community, not only in the ecumenical Gujarati Samaj (a society for people from Gujarat), but also in the far more cruel organizations of the Hindu Right, such as the Vishwa Hindu Parishad (VHP), the Overseas Friends of the BJP (the main political party of the Hindu Right aka BJP) and the Ekal Vidyalaya.


Now the interesting part is Shah’s parents, Ramesh and Kokila, not only work as volunteers for these outfits, but they also held positions of authority in them. And their daughter was not far behind. She was an active member of the VHPA, the U. S. branch of the most virulently fascistic outfit within India. The VHP’s head, Ashok Singhal, believes that his organization should “inculcate a fear psychosis among [India’s] Muslim community.” This was Shah’s boss.

I mean Obama's foreign policy is centered on amending wrongs done by BUSH BABY especially this none sense they call WAR ON TERROR but strangely he has employed a Muslim hating fanatic as his advisor on building relationships with the Muslim world


I take it some of you brothers are quite familiar with what happened in Ayodhya mosque and how deep that goes to the escalation of currently conflict in Kashmir.. and another point to not is that the VHPA is a very disciplined organization that demands a lot from its members – notably congruence in all the work that they do. Which is why I raised the question considering one of those who killed Indira Ghandi was a RSS member

The whole point is...this isnt going to be good when Obam decides to pursue India -Pakistan issues on Kashmir
 

...oh please....
 
Pres-elect akipeleka watoto shule Monday Nov 10th

 
Hapo kwenye 'blue' mie ndipo JF na Pundits wake ua wananiacha hoi! jamaa hata kuapishwa bado, haijapita hata wk toka ashinde, lakini wataalamu tayari wamesha tabiri na wanajua kuwa ATACHEMSHA😀!! Haya, sie wengine yetu macho.............

Chinkala,

To err is human. Obama ni mungu wa kutokea wapi asichemshe?
 
Akienda DC kukutana na Prez Bush na 'kukagua makazi yake mapya"


 
Baada ya Barack Obama kuchaguliwa kuwa rais wa 44 wa Marekani wanakijiji wa Cavustepe katika Mkoa wa Van nchini Uturuki wameamua kumtolea kafara mheshimiwa Obama kwa kumchinjia kondoo 44.


 


Obama is pictured on his plane flying from Chicago to Washington.




















 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…