Obama's - Post Election Thread

Obama hawezi kumaliza rushwa Kenya, bali serikali ya Kenya na wananchi wake ndio wanaweza kuitokomeza kwa kiasi fulani....Nishachoka na hizi habari za nchi zetu za Afrika kutegemea kusaidiwa na mataifa ya magharibi argh!!!!.

Icadon,

I agree with you one hundred percent when it comes to poeple wanting
to sit back and expect handouts.However a deeper analysis int the scene
utakuta kua sio mwananchi wa kawaida ambaye ana akili ya namna hii.Ila ni
viongozi wetu ambao wanasubiri hela ya misaada inapowasili kish wanaitia
mfukoni.Mlalalahoi kehsazoea hali hii na ni 'hustler ' kivyake.

Point yangu ninapoilenga the Obama administration ni kutaka misaada
iongezeke in terms of humanitarian/social services.Na pia kua na an
aggressive way of monitoring the funds so that people are held accountable.
Mifano ni kama kile kiwanda cha kutengeza Mosquito nets ambacho Bush
alitembelea alipokuja Bongo.Kuimarisha shule sehemu za vijijini by building
structures and supplying basic stuff like books.This is something missionaries
have been doing for a long time.All they need is a little govt help and they
can get book donations from their churches. Kuna miradi ya kuchimba visima
vya maji in the rural areas that are arid or semi arid.

So if donor funding comes through the world bank or IMF it should be earmarked
specifically for these kind of projects.

Another strong point is for the continent of Africa to be given its fair share
of hearing at the world market.Ukweli ni kwamba our products are sold for
way less than they value and some markets are specifically closed for African
buinesses.The mineral trade, the coffee trade and the sugar trade are a few
examples.

Kisha pia kuna ishu za strengthening the pillars of our young democracies in
Africa.The power of the ballot box should be respected at all costs na michezo
kama ile ya Kibaki al'ocheza Kenya na Mugabe anacheza Zimbabwe
should not be entertained at all costs.

Kuna kitabu kiliandikwa na jamaa anaitwa Walter Rodney..."How Europe
Underdeveloped Africa"..It has stuck with my mindset for a long time. Even
while we engage these capitalist economies, of which we are unfortunately
entwined, tukumbuke wanatufaidi wao
 

Mkuu nafikiri hakutakuwa na shida yeyote kwani should she accept the position atakuwa ana serve kwa pleasure ya Rais wa Marekani and her job will be to fulfill those foreign policies ambazo Rais atazi approve.
 

Rais anapokuomba kushika wadhifa na wewe ukakubali ni kwamba utafanya kazi on his behalf, na mama kishasema wazi kuwa yeye yupo tayari kumsaidia rais katika kutekeleza agenda zake. "History doesn't remember Secretary of state, remebers president who sets the agenda kwa kushirikiana na cabinet, kama likiamuliwa hivyo basi litakuwa likifail ni lawama za rais na si mtu mwingine", ninachokiaona kwa sasa ni kwamba "racist" na wote waliokuwa hawamtaki Obama wanajaribu "kui-hasi" serikali yake hata kabla haijaapishwa, he will prove you wrong, he's gona be one of the greatest presedents in this century.
 
Hillary Clinton, and her husband, should fade into oblivion and enjoy that presidential pension.

America has seen enough of oversized egos and family dynasties, even the Chinese did away with Kingdoms.
 
Hillary Clinton, and her husband, should fade into oblivion and enjoy that presidential pension.

America has seen enough of oversized egos and family dynasties, even the Chinese did away with Kingdoms.

Aaww hell naw!!!! The Clintons aren't going nowhere....
 
Aaww hell naw!!!! The Clintons aren't going nowhere....

And watch this space, with all that talk Obama is not going to include Clinton in his administration.

And if he will I will write him off.
 

Wewe nawe bana....Nagin alichaguliwa kwa vile ni mweusi na NO wengi ni weusi. Hilo halina ubishi. Nina washikaji wanugu wanaotoka NO na hata wao wanakubali kuwa alichaguliwa tena kwa sababu hiyo. Hoja ya kama aliharibu au la haina ubishi. Ukweli wa mambo ni kwamba Bush, Blanco, na Nagin wote waliharibu. Wewe unadhani sababu ya Blanco kushindwa Ugavana ni nini? Sasa hivi Jindal anafanya mavitu yake na hiyo ni stepping stone for bigger and better things....if you know what I mean
 
And watch this space, with all that talk Obama is not going to include Clinton in his administration.

And if he will I will write him off.

Not in any capacity? I'm not sure about the Sec. of State thing but I think she'll end up somewhere in the administration. She could very well be named Attorney General, Solicitor General, or something else....
 

Nani aliwapaga misaada wa Marekani?
 

Of course wewe dogo hujali kwa vile wewe ni mwislamu.....
 

Na wale wanamfuata pedophilic prophet ndo wana stable mind zaidi?
 

Wewe dogo siku hizi umedata maana unaongea vitu visivyo eleweka
 
unachemka, suala hapa ni utoaji mimba!! hayo mambo ya pedophilic prophet (ambaye nadhani alikubashia wewe na memba woooote wa kiume ktk familia yako...ofkoz, ushahidi ninao) alikuwa hausiki hapa.....

Nashukuru kwa matusi yako, ila naamini M/Mungu atakuona ..Inshallah, ipo siku itatolewa account kwa kila idle word iliyotamkwa..
 
......nilichokuwa nasema, mtu yeyote anayeshikiwa akili na "mchungaji au sheikh" ktk suala kama abortion basi ni juha!

Matusi yako yanadhihirisha upeo wako finyu kuhusu mambo ya roho..kaza buti kumfuasa Babu yako Ibilisi maana hivyo ndivyo inavyokupasa..
 
sawa mie nime-data na wewe ni mzima!!

naenda zangu kuangalia 007 saa hii, wewe kata issue utubadilishie Tanzania na Dunia kwa ujumla.....ijumaa njema.

Mimi sipo hapa kukata ishu wala kubadilisha dunia. Obama wako ndio atabadilisha dunia....remember...change...change....change...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…