Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Obama hawezi kumaliza rushwa Kenya, bali serikali ya Kenya na wananchi wake ndio wanaweza kuitokomeza kwa kiasi fulani....Nishachoka na hizi habari za nchi zetu za Afrika kutegemea kusaidiwa na mataifa ya magharibi argh!!!!.
Icadon,
I agree with you one hundred percent when it comes to poeple wanting
to sit back and expect handouts.However a deeper analysis int the scene
utakuta kua sio mwananchi wa kawaida ambaye ana akili ya namna hii.Ila ni
viongozi wetu ambao wanasubiri hela ya misaada inapowasili kish wanaitia
mfukoni.Mlalalahoi kehsazoea hali hii na ni 'hustler ' kivyake.
Point yangu ninapoilenga the Obama administration ni kutaka misaada
iongezeke in terms of humanitarian/social services.Na pia kua na an
aggressive way of monitoring the funds so that people are held accountable.
Mifano ni kama kile kiwanda cha kutengeza Mosquito nets ambacho Bush
alitembelea alipokuja Bongo.Kuimarisha shule sehemu za vijijini by building
structures and supplying basic stuff like books.This is something missionaries
have been doing for a long time.All they need is a little govt help and they
can get book donations from their churches. Kuna miradi ya kuchimba visima
vya maji in the rural areas that are arid or semi arid.
So if donor funding comes through the world bank or IMF it should be earmarked
specifically for these kind of projects.
Another strong point is for the continent of Africa to be given its fair share
of hearing at the world market.Ukweli ni kwamba our products are sold for
way less than they value and some markets are specifically closed for African
buinesses.The mineral trade, the coffee trade and the sugar trade are a few
examples.
Kisha pia kuna ishu za strengthening the pillars of our young democracies in
Africa.The power of the ballot box should be respected at all costs na michezo
kama ile ya Kibaki al'ocheza Kenya na Mugabe anacheza Zimbabwe
should not be entertained at all costs.
Kuna kitabu kiliandikwa na jamaa anaitwa Walter Rodney..."How Europe
Underdeveloped Africa"..It has stuck with my mindset for a long time. Even
while we engage these capitalist economies, of which we are unfortunately
entwined, tukumbuke wanatufaidi wao