Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Mchezaji wa Ken Gold Obrey Chirwa amesema kuwa kama Simba SC watacheza kama ambavyo wamecheza na Ken Gold kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga basi watafungwa lakini wakibadilika watapata sare
"Simba kama watacheza hivi kwa Yanga watapoteza ubingwa, Simba kama watacheza hivi kwa Yanga watakufa lakini kama watabadilika wacheze kama Yanga watatoka bila bila".
Chirwa ameyasema hayo mara baada ya kumalizika kwa mchezo kati ya Simba SC dhidi ya Ken Gold ambapo Simba weibuka na ushindi wa magoli 5-0.