Observation yangu kwenye stori ya Le Mutuz


ona sasa, mimi nishakuwa Le mutuz umejiunga mwaka 2018! nimejiunga 2008, najulikana mpaka kwa majina yangu halisi humu!!

ile ni sindano mkuu, huwa inauma na naona unarusha mateke, ebu tulia kabisa

siyo ya mkononi au pajani hii....taratibu; una ruhusa ya kupiga kelele useme 'mamaaa' au 'babaaa'

Dawa haina utamu katu
 
Umeshakunywa chai???agiza supu apo nakuja kulipa
 
Sasa na wewe unafanya utumbo kama alofanya huyu unae mlaumu.Alitakiwa aje Lemutuz ndio amjibu hivyo na si wewe unless otherwise uwe wewe ni mkewe au Lemutuz mwenyewe.Ciao
 
Watu wengi humu mmemjua wiliam baada ya kurudishwa Tanzania kwa kushindwa kutoa child support ambalo ni kosa kubwa sana kule US.

Huyu mtu pia alishawahi kunywa sumu kutaka kujiuwa ambalo nalo pia ni kosa kubwa sana la jinai kule US. Hana cha kuchukiwa na mtu yeyote New York bali ni poor egoism yake ya kuegemea jina la baba yake!

Mtapoteza muda wenu tu kumjadili humu.
 
Kijana we ni mgumu sana kuelewa[emoji23]
 
Le Mutuz umpende umchukie ametuelimisha sana kuhusu maisha ya vijana waliolowea Marekani.

Le Mutuz akili kubwa kweli. Kutoka dola milioni moja hadi mafanikio aliyo nao.
 
eti baharia
huwezi kuwa baharia halafu ukawa bwege la kujipendekeza vile
asingekuwa mtoto wa waziri angetoka?
kuna mengi tu anaficha na mengi anaongopa huyo jamaa
akili yake ya sasa inaakisi akili yake ya zamani
 
NNami nakiri nimemfuatilia LEMUTUZ hatua kwa hatua kwa kiasi Fulani nimemuelewa.

Hasa hilo la WABONGO wengi kumchukia ni wale waliotaka kuishi KISWAHILISWAHILI vijiweni kwa saana na ushogashoga mwingii

Jamaa alikuwa serious na kazi na kuchunga familia sasa wale wasio na kazi za kueleweka wakajenga chuki .
 
Le mutuz liongo sana na tumbo lake.....mzee wa malecela sijui siku hiyo alikua mtungi maana kaleta kituko
 
eti baharia
huwezi kuwa baharia halafu ukawa bwege la kujipendekeza vile
asingekuwa mtoto wa waziri angetoka?
kuna mengi tu anaficha na mengi anaongopa huyo jamaa
akili yake ya sasa inaakisi akili yake ya zamani
Hivi tutabadilika lini? Jaribu kujifunza mazuri yake kupitia mihangaiko aliopitia kuliko kumuattack le mutuz, ukianza kuona mabaya yake na kuyaandika(kudocument) humu means wewe uko sawa sawa ( mkamilifu) 100%.

Tujifunzeni kukubali positives na kujifunza kwa wenzetu,
Fikiria pamoja na kupoteza mda mwingi Marekani, Lemutuz karudi bongo kaanzisha Online TV, sasa online radio, hapo lemutuz anakula pesa za matangazo na promotion kibao, ana usafiri wake binafisi, anakula apendacho na kulala apendako.
Huoni mpaka hapo kaonyesha juhudi za kiume kurecover his economical status?

Lemutuz ana akili kubwa kiasi wabongo wengi kwa ujuaji wenu wa kijinga mtamwona anakula maisha murua tu.
 
Rudi kasome kiingereza. Ni loser sio looser
 
Mbona wewe hutaki kujifunza kwanini huyu jamaa vitu vibaya vyote anamsingizia ex wife wake? Mtu intelligent huwa ajisifii mimi nina akili kubwa ooh mimi nina uwezo wa kuona mbali.
 
Yaani ninunue kitabu cha maisha ya le mutuz, nitakua abnormal
 
kunywa sumu tena
 
kwa ile akili endelea kumkubali wewe
halafu hata mi nakula nachotaka nalala napotaka,what is so specialabout that
sijapata favor zozote za mtoto wa kigogo
tukubaliane kutokukubaliana...he is your role model,he isn't mine because i have not seen any achievement to be my role model....the retired grandpa aliyeishi NYC for 30 damn years anaishi apartment ya kupanga!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…