William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Lekibamiazzz
Kama mwanaume yanini kumuanika mwanamke wako na madem zako uliokwishakua na mahusiano nao that much?
Will that make kibamiaz go away?Never!
Mwanamke kakuzalia watoto,ulivyo so petty umeenda kumuandikia kitabu cha kumdhalilisha of which uliyoyatoa mle mwote sio ukweli 100%,kuna mahali umeongeza au kupunguza kitu kukujengea wewe image kua ni malaika zaidi yake!
Halafu,cant you just move on?Mlishaachana,yanini na mavitabu?Why cant you just shut the F up and move one with life and leave her alone maana still ana maisha ya kuishi yaliyobakia?Unajinasibu ni kitabu cha maisha yako,can you just remove the pages concerning her kuonesha u have decency ya ku-keep private the life of a woman who gave you kids?
Ninachoona bado hujamove on,na huo ndio ukweli....
Kuna shida sana unayo,kuna sababu kubwa sana anayo yakukuacha..achana nae mkuu move on mkuu...
- hahahaha umesema nimeandika uongo 100%, kwamba hakuwa deported? Sasa ngoja nikuambie ukweli ambao sikuuandika nilipomuoa aliondoka Belgium na madeni kibao ambayo nilikuja kulazimishwa kuyalipa tukiwa honemoon, hahahaha nikiamua kuandika ukweli wote mkuu utalia machozi ila karibu sana!
- Kuhusu ku move on wala hata sina sababu ya kujibu ni matendo yangu na yake ndio yanajisema wazi nani haja move on hahahahahaha
le Mutuz