Observation yangu kwenye stori ya Le Mutuz

- Simuiti yoyote akili ndogo unless umeamua mwenyewe kua ni akili ndogo mimi nikusaidiaje?

le Mutuz
Waste of time......Afu unajiita king of all bongo social networks kwa jina tu,,,,,Watu tunagonga adsense dola 250 hadi 400 daily ila tupo kimya tu.....Grandpa katafute traffic
 
Waste of time......Afu unajiita king of all bongo social networks kwa jina tu,,,,,Watu tunagonga adsense dola 250 hadi 400 daily ila tupo kimya tu.....Grandpa katafute traffic

- Wanaonilipa ni You Tube sio wewe, walitaka Posts 10 zenye Viewers over 10K ninazo post kama 50 over kiwango chao so sijui unasema nini hahahaha kama unapata ni zako na mimi napata zangu na ninaishi hapa hapa downtown, take that nonsense back!



- Hiyo ndio mitambo yangu mipya ya Le Mutuz Radio Online, hahahahahaha pigana na hali yako yangu haikuhusu U know hahahaha!, jifunze miaka 7 iliyopita nilirudi na Dola 1,000 tu niambie hapo kwenye picha ni Dola ngapi? hahahahahha tulia uisome namba hapa!

le Mutuz Pamba! Pamba! Pamba!
 
Duh una mavifaa mengi lakini mwenzio nna vilaptop viwili tu, Umeiona hio RPM (wanachonilipa kwa views 1000)🙂🙂, Kwa kila views 1,000 kwemye blog yangu nina uhakika wa kuoiga Dola 94, Na hii ni kutokana na settings special....Komaa na youtube huko ambako wanalipa dola 2 hadi 3 kwa kila views 1,000, nakupongeza kwa kuja kasi kwenye online t.v maana huwa hukosi views elf 1 per video.......Mi sina mavifaa kama yako ila kwa ki-laptop changu nikipiga views 1,000 tu haipungui laki 2🙂🙂views 2000 hadi elfu 4 sio mbaya kwa kijana.
 

- Tatizo unapiga kelele bila kuulizwa kwani tatizo lako ni nini hasa? hahahahahhahaha lets say wewe unapiga pesa na mimi napiga pesa sasa tatizo lako nini kwamba hujulikani au what?

- Yes vifaa ninavyo na soon nipo kwenye mazungumzo ya kuingia mkataba na kampuni kubwa ya simu nchini wanataka kuitumia Studio yangu kwa mambo yangu, na huku natafuta muwekezaji nifungue Radio na TV ya kweli, pole sana hapa unapigana na AKILI KUBWA wewe unafikiria leo mimi napigania kesho zaidi mkuu, tofauti yetu ni elimu tu!

le Mutuz
 
ok mzee wa kusingizia maji yabaridi🙂🙂
 
Kwani ww inakuuma.nn wakianzisha story mbona unachangia kwenye story hyo hyo?
 
Mbona simple sana jaribu kufanikiwa mbele ya washkaji wako ukiwa mdadisi utagundua mambo mengi sana......

So jamaa alikuwa akichukiwa na washkaji wake kwa kuwa alikuwa na mafanikio katika maisha.....
Mafanikio?ya kubeba box au?
 
N probably hyo apartment analipiwa na baba yake au bashite
Ts a shame
 
Hunaga facts we mwehu
 
Yaan huyu ndo role model wa MTU?duuuu dunia imevaa tambala walah
 
N probably hyo apartment analipiwa na baba yake au bashite
Ts a shame

- Hahahaha niliwaambia huwa sijibu nikiwa na hasira, nasibiri sina hasira ndio ninajibu niliwaambia kwenye my American Story hamna za kujibu kaeni pembeni msome tu! hahahahaha unaona matokeo ndio haya mnalia lia hata hamjui mnacholilia hahahaha!

le Mutuz
 
- Ni dalili kua umekubali kushindwa hahahahahaha hata yangekua ya moto ungekuja kujaribiwa kwanza ndio ulie kuhusu maji ya baridi hahahahahhaa!

le Mutuz Pamba! Pamba!
Kwani kulikuwa na mashindano yapi?

Maisha mafupi, let us enjoy every moment of it
Special dedication to Grandpa Le Mutuz
 
Kwani kulikuwa na mashindano yapi?

Burudika kwa burudani maridhawa


- hahahaha huwa tunawajibu wajinga kwa vitendo, wewe hamgaika na ujinga sisi tunasonga mbele na kazi kazi ila next time jilipue uje ujionee mwenyewe kuliko kusubiri kusimuliwa na mwanaume kulalamikia pipe ya mwanaume mwingine nina wasi wasi sana na jinsia yako hahahahahahahahahaha!

le Mutuz Pamba! Pamba! Pamba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…