Observation yangu kwenye stori ya Le Mutuz

Observation yangu kwenye stori ya Le Mutuz

29103457_905372016311864_7724582982914154259_n.jpg

- Mkuu usibishane nao ni kweli babayangu ndiye amenijengea hii studio hahahahaha, achana nao mkuu

le Mutuz
Bg up bro, we understand. Hawanisumbui hao
 
- Simuiti yoyote akili ndogo unless umeamua mwenyewe kua ni akili ndogo mimi nikusaidiaje?

le Mutuz
Waste of time......Afu unajiita king of all bongo social networks kwa jina tu,,,,,Watu tunagonga adsense dola 250 hadi 400 daily ila tupo kimya tu.....Grandpa katafute traffic
 
Waste of time......Afu unajiita king of all bongo social networks kwa jina tu,,,,,Watu tunagonga adsense dola 250 hadi 400 daily ila tupo kimya tu.....Grandpa katafute traffic

- Wanaonilipa ni You Tube sio wewe, walitaka Posts 10 zenye Viewers over 10K ninazo post kama 50 over kiwango chao so sijui unasema nini hahahaha kama unapata ni zako na mimi napata zangu na ninaishi hapa hapa downtown, take that nonsense back!

29178519_905997669582632_3755307147331729259_n.jpg

- Hiyo ndio mitambo yangu mipya ya Le Mutuz Radio Online, hahahahahaha pigana na hali yako yangu haikuhusu U know hahahaha!, jifunze miaka 7 iliyopita nilirudi na Dola 1,000 tu niambie hapo kwenye picha ni Dola ngapi? hahahahahha tulia uisome namba hapa!

le Mutuz Pamba! Pamba! Pamba!
 
Duh una mavifaa mengi lakini mwenzio nna vilaptop viwili tu, Umeiona hio RPM (wanachonilipa kwa views 1000)🙂🙂, Kwa kila views 1,000 kwemye blog yangu nina uhakika wa kuoiga Dola 94, Na hii ni kutokana na settings special....Komaa na youtube huko ambako wanalipa dola 2 hadi 3 kwa kila views 1,000, nakupongeza kwa kuja kasi kwenye online t.v maana huwa hukosi views elf 1 per video.......Mi sina mavifaa kama yako ila kwa ki-laptop changu nikipiga views 1,000 tu haipungui laki 2🙂🙂views 2000 hadi elfu 4 sio mbaya kwa kijana.
IMG-20180215-WA0018.jpg
 
View attachment 713878

- Tatizo unapiga kelele bila kuulizwa kwani tatizo lako ni nini hasa? hahahahahhahaha lets say wewe unapiga pesa na mimi napiga pesa sasa tatizo lako nini kwamba hujulikani au what?

- Yes vifaa ninavyo na soon nipo kwenye mazungumzo ya kuingia mkataba na kampuni kubwa ya simu nchini wanataka kuitumia Studio yangu kwa mambo yangu, na huku natafuta muwekezaji nifungue Radio na TV ya kweli, pole sana hapa unapigana na AKILI KUBWA wewe unafikiria leo mimi napigania kesho zaidi mkuu, tofauti yetu ni elimu tu!

ok mzee wa kusingizia maji yabaridi🙂🙂
 
hauwezi ukasoma story ya mwanaume mwenzako, kuanzia mwanzo mpaka mwisho kisha ukaja kuanzishia thread hapa!! ebu fikiria akili hiyo, ya kike!! vijana mna vi element vingi sana vya ukikekike, tutawafundisha mtu at least mkivaa suruali muonekane mnafanana na wazee wenu
Kwani ww inakuuma.nn wakianzisha story mbona unachangia kwenye story hyo hyo?
 
Mbona simple sana jaribu kufanikiwa mbele ya washkaji wako ukiwa mdadisi utagundua mambo mengi sana......

So jamaa alikuwa akichukiwa na washkaji wake kwa kuwa alikuwa na mafanikio katika maisha.....
Mafanikio?ya kubeba box au?
 
kwa ile akili endelea kumkubali wewe
halafu hata mi nakula nachotaka nalala napotaka,what is so specialabout that
sijapata favor zozote za mtoto wa kigogo
tukubaliane kutokukubaliana...he is your role model,he isn't mine because i have not seen any achievement to be my role model....the retired grandpa aliyeishi NYC for 30 damn years anaishi apartment ya kupanga!!!!!
N probably hyo apartment analipiwa na baba yake au bashite
Ts a shame
 
- Nilikua na Rafiki mbongo Peter na ni rafiki yangu mpaka leo tunaongea kila siku kwa simu, nilisema kwenye my story wabongo wote wanyonge wa fikra ndio waliokua wananichukia, na sikua na tatizo kuchukiwa nao my ex alikua na akili ya kinyonge sana kama hao wenzake ndio maana wakaungana pamoja,

- Kuna mengi sikuyaandika ila yatakuwemo kwenye kitabu, cause I was too much of a man Wanaume wengi wakawa wanaonekana sio wanaume kwa wanawake wao kunilinganisha na mimi na maisha yangu, nilikua sinywi pombe wala kuvuta sigara nilikua nafanya kazi na kujisomesha mwenyewe na kutunza familia, hakuna mbongo aliyeweza kujaribu kuishi na mke miaka 5 bila kazi kama mimi, now kilichokuja kuwaudhi sana Wabongo ni mke wangu kupata kazi ubalozini baada ya kukaa bila kazi miaka 5. Kazi ya Ubalozini kwa wazamiaji majuu ni impossible hapo palikua na chuki kubwa sana.

- Ila naomba kusema tena na tena kwamba Wabongo wa New York hawakua sababu na nimesema sana kwenye story yangu na nitairudia vizuri kwenye kitabu,

- Hii thread imeanzishwa na mtu ambaye tayari nimeshaona anakotokea na anakotaka kwenda hahahahaha lakini atapiga ukuta tu maana ni ngumu sana kushindana na FACTS, karibu sana mkuu ila usikimbie hahahahaha!

le Mutuz
Hunaga facts we mwehu
 
- Hahahahaha sijawahi kuwa na shida na mabebezz mpaka ninywe sumu kwa sababu ya MWanamke hahahaha, hivi unaweza kunywa sumu ukapona? ok lets say ni kweli mbona sijanywa mpaka leo? hahahahahaha chezeya FACTS na bado zinakuja kwenye kitabu yaani mtaelewa somo tu hahahahaha!

le Mutuz
Yaan huyu ndo role model wa MTU?duuuu dunia imevaa tambala walah
 
N probably hyo apartment analipiwa na baba yake au bashite
Ts a shame

- Hahahaha niliwaambia huwa sijibu nikiwa na hasira, nasibiri sina hasira ndio ninajibu niliwaambia kwenye my American Story hamna za kujibu kaeni pembeni msome tu! hahahahaha unaona matokeo ndio haya mnalia lia hata hamjui mnacholilia hahahaha!

le Mutuz
 
- Ni dalili kua umekubali kushindwa hahahahahaha hata yangekua ya moto ungekuja kujaribiwa kwanza ndio ulie kuhusu maji ya baridi hahahahahhaa!

le Mutuz Pamba! Pamba!
Kwani kulikuwa na mashindano yapi?

Maisha mafupi, let us enjoy every moment of it
Special dedication to Grandpa Le Mutuz
 
Kwani kulikuwa na mashindano yapi?

Burudika kwa burudani maridhawa

29178519_905997669582632_3755307147331729259_n.jpg

- hahahaha huwa tunawajibu wajinga kwa vitendo, wewe hamgaika na ujinga sisi tunasonga mbele na kazi kazi ila next time jilipue uje ujionee mwenyewe kuliko kusubiri kusimuliwa na mwanaume kulalamikia pipe ya mwanaume mwingine nina wasi wasi sana na jinsia yako hahahahahahahahahaha!

le Mutuz Pamba! Pamba! Pamba!
 
Back
Top Bottom