OC - CID Mafwele ni nani? Kwanini haguswi na uhamisho wa Polisi nchini?

Nimeanza kuunganisha dot... Wakati wa kesi ya Mbowe Kuna kikosi kazi kutoka Arusha......mahita...... Kuna yule aliyetoka kituo Cha Usariver....

Walipofikishwa Dar ....chang'ombe kule jamaa (mwanajeshi Lema)alisikika akilia kama mbuzi..

Mwisho tutaujua mtandao wote
 
Du. Kweli Tanzania ni nchi ya ajabu. Huyu polisi kila anakopita anasifika kwa rushwa, mauaji na ukatili. Anga nguvu kiasi gani? Hii ni thread ya yangu 2015 na sasa ni 2024 na bado anasikika kwa ubaya. Mwanza tena tunasikia kuwa aliua watu. Sasa yupo Dar bado mauaji yanaendelea.
 
Pengine hiyo ya pili ndio sahihi, tukianza na huo ukwasi alionao ni nadra sn kwa polisi mwenye maadili ya kazi yake kuwa na ukwasi huo alionao kama ni kweli anamiliki huo ukwasi.
Mkuu, siyo coincidence mtu atuhumiwe kwa ukatili na mauaji kila anapopita. Arusha, Mwanza na Dar kote anatuhumiwa kwa mauaji na ukatili. Mbona wako askari wazuri sana kwenye kupigana na majambazi na hupata sifa nzuri? Hivi unajua nickname ya Mafwele? Anaitwa ''Majani''. Inasemekana ni kwa sababu ya kuvuta bangi.
 
Si wanasema yupo Polisi Chang'ombe Ofisini?
 
Shikamoo jamii forums. Kumbe huyu shetani alianza kitambo sana huu ushetani wake. Mupitia huu uzi, naamini kesi imefungwa sasa kukusu hawa watekaji.
 
mleta mada ninazidi kuwa na wasiwasi na wewe maana ukileta mada zinakuwa ni za majungu na uzandiki
mfano: last year ulileta thread kuhusu wale wadada mapacha watumishi wa tra, kumbe ni uzandiki tu huna hoja umejaa majungu
Kwa hiyo mleta mada ni mpiga majungu mastufu jukwaani sio?
 
Hatari
 
Pale yuko kwa kazi maalum kwa ajili ya ule mkoa maana katika mikoa ya ya tanzania arusha mwanza na saridalamu ni mikoa ya matukio sana
 
Aisee ,
Aisee huyu Jamaa ni muuaji na jambazi sugu ,
Kweli jamii forum ni zaidi ya maktaba .
Huyu mshenzi huu uzi unafunua maovu ya huyu jambazi mwafwele anayeteketeza raia kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…