OC - CID Mafwele ni nani? Kwanini haguswi na uhamisho wa Polisi nchini?

Sifa za kupanda vyeo kwenye jeshi la polisi ni roho mbaya na ukatili. Hawa kina, yale mambo tuliyasikia wakati wa kesi ya Mbowe ndio namna jamaa wanapata sifa na kupanda vyeo
 
Ila kwa Mazingira kama Arusha panataka Mtu awe Aggressive fulani mana watu wa Arusha ukicheka nao unavuna mabua aisee , Hii post ni ya 2015 lakini kusema sana midomoni mwa watu sio kitu kizuri tena kusemwa vibaya ni kitu hatari sana
 
Yaani huyu tangu ajiunge JF alicomment hapa tu?
Hata mimi nimeshangaa.

Inaonekana huyu ni yeye na taarifa kwamba amefunguliwa uzi Jamiiforums alizipata kutoka kwa mtu wake wa karibu akaona nae ajiunge aandike mipasho aondoke,unajua wakati uzi huu unaanzishwa hali ilikuwa kama ilivyo leo kila mtu alikuwa anajiona mkubwa wa mwenzake.
 
Ngoma imevuma
Hapo kuna mawili! Ukute yeye Ndio kiboko ya mitandao ya majambazi ya Arusha ; Sasa wanatengeneza fitna atolewe jeshi lipoteze dira na majambazi kujipanga na kuanza kusumbua!! Au hizo tuhuma ni za kwe

Hapo kuna mawili! Ukute yeye Ndio kiboko ya mitandao ya majambazi ya Arusha ; Sasa wanatengeneza fitna atolewe jeshi lipoteze dira na majambazi kujipanga na kuanza kusumbua!! Au hizo tuhuma ni za kweli!!
Ngoma imevuma sana sasa inapasuka.
 
Ila kwa Mazingira kama Arusha panataka Mtu awe Aggressive fulani mana watu wa Arusha ukicheka nao unavuna mabua aisee , Hii post ni ya 2015 lakini kusema sana midomoni mwa watu sio kitu kizuri tena kusemwa vibaya ni kitu hatari sana
Ila arusha ina bahati mbaya na na hawa ma rco wauaji, mafwele,akaja gwakisa, sasa yupo mahita.
 
😭😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…