TANZIA OCD wa Chalinze, Innocent Flex afariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi maradhi ya kuumwa kichwa na kubanwa pumzi

Serikali hii kukataa kutupatia taarifa ni jambo la hatari na la kipuuzi sana. Hakuna tahadhari tena, mambo yanaenda tuuu, tukipata taarifa sahihi ya mwenendo wa ugonjwa huu hofu huongeza nidhamu na kujitambua ili kuongeza tahadhari za kuepuka ugonjwa.
Sasa leo OCD Chalinze jana MKUU wa Wilaya Nyanghale Geita huko bado hakuna taarifa yeyote.

Huku mitaani usiombe naomba serikali itangaze na kazi tuendelee kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mara ya kwanza naona watu wakiwa na furaha, nderemo na vifijofijo kila inapotangazwa habari ya kifo, hii sijawahi ona popote duniani
Hapana acha upotoshaji nani kafa kumbe wewe sio mzelendo?
 
Sina hakika na hili la kirusi kubadilika ninachoona watz wengi hatufanyi mazoezi Covid akikukuta kwenye hali hiyo huamki kumbuka covid akifika kwenye mapafu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umekuwa mtu wa mbele sana kushadadia Haya na kupotosha , umekuwa ukizua taarifa za uzushi kila Mara, na taarifa hizi zimekuwa zikileta taharuki kwa wananchi wengi

I tell you,lazima ubadilike .naishia hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wengine unashindwa hata kupredict umri wao; maana mda mwingine wanakuwa kama watu wazima mda mwingine kama watoto. Kuna watu wengine kwa heshima hapa jukwaani hawakustahili wanayoyafanya, ila ndio hivyo tena kuku hata akioga ataenda kupekua tu usishangae mkuu
 
Naona unatoa sumu mwilini...
kwa kubwatuka.....
 
Kuna wakati muwe watu wa tafakuri.. Hamjui nikoje na marehemu... Msiwe watu wa kuhukumu kila kitu...

Jr[emoji769]
Nipo mafichoni ila nina mafua na kikohozi. Sibanwi kifua wala sina kichwa. Niliingia porini tangu last week.
 
Kuna watu wanaenjoy kupost habari za hivi
Hapana mkuu ila kwa sababu ya Watawala wetu hasa Mkuu pale Mjengoni na Mkuu wa Kaya ndiyo maana unaona hivyo. Wewe si unaona mwenyewe Wabunge wanavyokejeliwa hasa wale wa Upinzani?? Mbona Ndugai yeye ana enjoy kutaja hadharani madeni ya Wenzie na huonyeshi kukerwa kwa hilo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…