TANZIA OCD wa Chalinze, Innocent Flex afariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi maradhi ya kuumwa kichwa na kubanwa pumzi

TANZIA OCD wa Chalinze, Innocent Flex afariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi maradhi ya kuumwa kichwa na kubanwa pumzi

Mshana Jr in a new id? Pole sana mkuu
Wewe umekuwa mtu wa mbele sana kushadadia Haya na kupotosha , umekuwa ukizua taarifa za uzushi kila Mara, na taarifa hizi zimekuwa zikileta taharuki kwa wananchi wengi
I tell you,lazima ubadilike .naishia hapa
acha ujinga wewe ni Kiranja humu JF au unautaka uModerator
Hebu tafuta kazi nyingine km Mada inagusa huipendi si uache kuchangia
wengi mnajifanya mmetumwa kuja kawatafuta watu
Corona imeingia unataka hata member tusihabarishane humu Jukwaani
yaani umenikera sana Jitu una Fake ID unataka kupambana na Verified eti abadilike ana new ID???
Kesho naenda Mzika Mama yangu mkubwa nitasafiri zaidi ya kilomita 700
nimefiwa na jirani leo tupo hap Msibani
umsema unatishwa na kipi hasa
Ulimwengu mzima Vifo vinaongezeka inajitokeza mijitu mnafichaficha hamtaki hata tuhabarishane Misiba
PAMBANA na Fake ID au anzisha Mada sio huanzishi kazi kusubiri km mlevi
 
Hali ni mbaya lakini kadri watu wanavyojiachia huku mitaani bila hofu ndio kadiri hali inavyokuwa mbaya.

Corona itafika tu hata aende wapi as long as yupo tz itamkuta.

Inawezekana ni njia ya Mungu kutuondolea huyu binadamu.
Watu wameaminishwa kama gonjwa halipo
Lkn naona hii kitu inatafuta timing ya kufumuka
Kote kote

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ndugu Yetu Innocent Flex ametwaliwa na Bwana usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Chalinze. Mpaka jana jioni alikuwa mzima wa afya lakini usiku akapata maumivu makali ya kichwa na kubanwa pumzi ikabidi akimbizwe hospitali asubuhi lakini hakufika

Kabla ya kuwa OCD Chalinze alikuwa OCD Kibaha.

Mwili uko mochwari Tumbi hospital.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe


Jr[emoji769]
Ni kaugonjwa kadogo tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji41]ngoja tunidukize zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni hofu, mtu akipata mafua kidogo tu presha inapanda, anakata moto.
Hata mh rais anasema huu ugonjwa unawapa hofu watu, wakati ni wa kawaida tu.
Kama wa kawaida mbona yeye hatoki huko alipo, siku akitoka huko nitaamini kweli huu ugonjwa wa kawaida tu
 
Tatizo ni hofu, mtu akipata mafua kidogo tu presha inapanda, anakata moto.
Hata mh rais anasema huu ugonjwa unawapa hofu watu, wakati ni wa kawaida tu.
wa kawaida?
stop writing shits
 
Back
Top Bottom