TANZIA OCD wa Chalinze, Innocent Flex afariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi maradhi ya kuumwa kichwa na kubanwa pumzi

TANZIA OCD wa Chalinze, Innocent Flex afariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi maradhi ya kuumwa kichwa na kubanwa pumzi

Braza unahekima sana. Mie ningekuwa wewe ningewapa dhahama ya kimbunga cha kupiga kwikwi laki 2 kwa mwezi mzima..
We unatumia hekima sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna haja ya kulipa ubaya kwa ubaya.. Kesho ipo.. Inafaa kuwajibu kwa upole ili waone walipopotoka na kupata nafasi ya kutafakari na ikiwapendeza wabadiike

Jr[emoji769]
 
Hiyo ya kuboresha afya hasa Kama uwezo wa fedha unaruhusu naukubali Ila nyungo?mmmh
Nilicho kiexpirience kile kitendo cha kufunikwa na mvuke kukupata huku ukivuta pumzi yenye joto , mwili unachemka na jasho kukutoka jingi mzunguko wa damu hapa unaongezeka.
Ni mambo ambayo yanapatikana Gym wanaita Sauna.

Nyungu ni ya wahenga nawakubali mno.
 
Nitajsribu pia siku moja,unaipiga ikiwa jikoni au unaiipua then unaenda kuipigia pembeni?
 
Its alright but nini maana ya kupashana habari?

Jr[emoji769]
Ni vizuri kupashana habari...ila tatizo ni nia ya mtoa habari...hapa naongelea in general wanaopenda kuleta habar za namna hii...unakuta case nyingine mtu hajafa kwa dalili za #covid19 na kafia hospitali isiyohudumia wagonjwa wa namna hii,ila mtoa taarifa anatushawishi kafa kwa #covid19,halafu zaidi anapongeza.
 
Nitajsribu pia siku moja,unaipiga ikiwa jikoni au unaiipua then unaenda kuipigia pembeni?
Ukisha changanya majani kama, majani ya mwembe, mparachichi, mpera, mchaichai, alovera, mlonge na mengineyo inayojulikana kama miti tiba siyo lazima upate yooote.

Iweke kwwnye sufuria pamoja na maji ichemke ukiwa umefunika ,ukiona imeiva ,andaa mazingira yako kama ni chumbani , weka blanket au shuka nzito, kaipue sufuria yako ikiwa imefunikwa peleka chumbani vua nguo bakia na underwear , jifunike pamoja na sufuria.

Kisha lifunue ukiwa na mwiko , mvuke wake utakuingia , ukiona imetulia geuzageuza yale majani kwa ule mwiko , mvuke utaibuka tena utaona jinsi unavyotoka jasho.

Kuna kitu utajifunza na utapenda , baada ya kujiridhisha ww mwenyewe jifunue mwili uko chapachapa na furaha tele.
 
Sawa mkuu na Asante sana,nitajaqribu Ila Kuna Dr mmoja wa MUHAS nilimsikia amishauri Mambo mawili 1. Ule mfuke wa kwanza uachwe upite,2. kuvumba macho
Wewe unasemaje ufunue nyungu ukiwa umeshajifungia,si nitaungua?
 
Sawa mkuu na Asante sana,nitajaqribu Ila Kuna Dr mmoja wa MUHAS nilimsikia amishauri Mambo mawili 1. Ule mfuke wa kwanza uachwe upite,2.kuvumba macho
Wewe unasemaje ufunue nyungu ukiwa umeshajifungia,si nitaungua?
Hapana huungui, weka vipimo mfano, unaweza kaa chini jungu katikati ya mapaja yako .

Au uko kwenye stuli jungu liko miguuni kwako , vingine kadiria ukipimia na usalama wako pia .

Huyo Dr naye anaujuzi na taarifa zake nazo waweza zipokea pia, ila mm naona kama mivuke yote muhimu , Mimi napokezana na wife baada ya mm kufukiza nampasia na yeye anafukiza pia. Hivi sasa yupo kazini asubuhi nilifukiza chumbani kalihifadhi akirudi linachemshwa tunafukiza kesho anaweka material mpya.
 
Mkuu samahani dkt.Kinabo kafariki lini?Doh huu ugonjwa unaondoka na wataalamu wengi,hauangalii wala hauchagui.Janga hili litatuacha na mapengo mengi sana yasiyozibika katika jamii kirahisi.
Ni kweli kimetokea mchana huu wa leo 07/ May
nimehakikishiwa alikuwa akimshughulikia Mh sana aliyetangulia majuzi RIP
RIP Dr Kinabo
 
Back
Top Bottom