TANZIA OCD wa Chalinze, Innocent Flex afariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi maradhi ya kuumwa kichwa na kubanwa pumzi

TANZIA OCD wa Chalinze, Innocent Flex afariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi maradhi ya kuumwa kichwa na kubanwa pumzi

wala usijali Mshana watasema tunamsaidia Ummy hayaaaa
huku kwetu kaondoka Dr Kinabo ana Dispensary Uhindini
matatizo ya kupumua
hivyo bado idadi ni 16 tu?
Mkuu samahani dkt.Kinabo kafariki lini?Doh huu ugonjwa unaondoka na wataalamu wengi,hauangalii wala hauchagui.Janga hili litatuacha na mapengo mengi sana yasiyozibika katika jamii kirahisi.
 
Wewe umekuwa mtu wa mbele sana kushadadia Haya na kupotosha , umekuwa ukizua taarifa za uzushi kila Mara, na taarifa hizi zimekuwa zikileta taharuki kwa wananchi wengi

I tell you,lazima ubadilike .naishia hapa
Kuna wakati muwe watu wa tafakuri.. Hamjui nikoje na marehemu... Msiwe watu wa kuhukumu kila kitu...

Jr[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ndugu Yetu Innocent Flex ametwaliwa na Bwana usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Chalinze. Mpaka jana jioni alikuwa mzima wa afya lakini usiku akapata maumivu makali ya kichwa na kubanwa pumzi ikabidi akimbizwe hospitali asubuhi lakini hakufika

Kabla ya kuwa OCD Chalinze alikuwa OCD Kibaha.

Mwili uko mochwari Tumbi hospital.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

Jr[emoji769]

Vifo bado ni 16 tu!
 
Wewe umekuwa mtu wa mbele sana kushadadia Haya na kupotosha , umekuwa ukizua taarifa za uzushi kila Mara, na taarifa hizi zimekuwa zikileta taharuki kwa wananchi wengi

I tell you,lazima ubadilike .naishia hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hah! Kwa hiyo hii ni taarifa ya uongo? Usiniambie anayedhaniwa kufariki uko naye pembeni hapo
 
Acha kabisa niko hatua ya katikati kuelekea kupona Corona isikie tu ikikukuta unaafya mbovu utajuta..!

Viungo vinauma uchovu, pumzi inalungua na homa hasa jioni na usiku ni hatari kwakweli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna mshikaji ni Dk naye alisema hivyohivyo.. Aliugua anasema mwili unauma balaa ..kila sk anakazi ya kunianbia kaa ndani wangari😆😆! Pole kwa kupona aisee
 
Back
Top Bottom