Ametoa taarifa,kwa jamii yetu taarifa hizi ni muhimu,hichi ni chombo/jukwaa la habari,habari hizi ni muhimu kwa sababu kuna wengine pia twamfahamu ila hakuna ambaye angeweza tupa taarifa, kupitia hapa nimeweza kufahamu kuwa mtu huyu ninayemfahamu ameaga dunia, kwa hiyo Radio one, RFA,Tbc na nyinginezo huwa zinafurahi kutoa matangazo ya vifo?
Yanatolewa ili ndugu, jamaa na marafiki watambue.Sioni sahihi kusema mtu anafurahi kutoa taarifa za msiba.
Mtoa taarifa binafsi nashukuru na nimeweza kuwasiliana na familia yake kupitia taarifa yako.
Tunatofautiana sana akili humu duniani.