TANZIA OCD wa Chalinze, Innocent Flex afariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi maradhi ya kuumwa kichwa na kubanwa pumzi

TANZIA OCD wa Chalinze, Innocent Flex afariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi maradhi ya kuumwa kichwa na kubanwa pumzi

Kuna watu wanaenjoy kupost habari za hivi
No! Kila mtu anatakiwa ajue jinsi Corona inavyoua watu kwa kasi ili watu wawe serious katika kujilinda! Bila ya watu kuwa na hofu hawatakuwa serious katika kujilinda. Watu hawana hofu ndiyo maana kila mahali bado kuna mikusanyiko na hii itateketeza watu!
 
Kuna wakati muwe watu wa tafakuri.. Hamjui nikoje na marehemu... Msiwe watu wa kuhukumu kila kitu...

Jr[emoji769]
Kuna binadamu gani ana enjoy kutoka taarifa za misiba kila wakati? Wanakudhalilisha sana hawa jamaa
 
Kuna haja ya kila mtu kufanya mazoezi ya kupumua!
Mkuu, kila uamkapo asubuhi baada ya kuwa tayari umemshukuru Mungu, vuta pumzi nyingi ndani na ubane kwa sekunde 15 halafu unatoa.

Hapo utakuwa umefanya zoezi zuri la upumuaji. Fanya hivyo kila siku, ukiona vitu haviko sawa basi piga ile namba au fanya uamuzi utakaoona unafaa kwako.
 
Back
Top Bottom