TANZIA OCD wa Chalinze, Innocent Flex afariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi maradhi ya kuumwa kichwa na kubanwa pumzi

TANZIA OCD wa Chalinze, Innocent Flex afariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi maradhi ya kuumwa kichwa na kubanwa pumzi

Ni ndugu Yetu Innocent Flex ametwaliwa na Bwana usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Chalinze. Mpaka jana jioni alikuwa mzima wa afya lakini usiku akapata maumivu makali ya kichwa na kubanwa pumzi ikabidi akimbizwe hospitali asubuhi lakini hakufika

Kabla ya kuwa OCD Chalinze alikuwa OCD Kibaha.

Mwili uko mochwari Tumbi hospital.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

Jr[emoji769]

Mkuu mshana jr,,samahani! Wewe ni wa imani ipi?
 
Itakua ndo amekamilisha ile hesabu ya wafu 16.

The good, the bad and the ugly.
 
Mpaka jana jioni alikuwa mzima wa afya lakini usiku akapata maumivu makali ya kichwa na kubanwa pumzi i
Hii ni dalili ya corona? Muda mfupi kiasi hicho? Sky Eclat naomba elimu if these short interval symptoms and ensuring death relate to corona illnesses
 
Hii ni dalili ya corona? Muda mfupi kiasi hicho? Sky Eclat naomba elimu if these short interval symptoms and ensuring death relate to corona illnesses
Kuna maambukizi unakua nayo lakini hayaonyeshi dalili. Angekwenda hospitali wangeanza management ya maumivu ya kichwa wakati uchunguzi mwingine ukiendelea.
 
Back
Top Bottom