share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
Hatuna fedha hizo. Zilizobaki ni za kumpeleka ndugai India. Ndiyo maana anajikomba kwa Jiwe kiasi cha kujivunjia heshima mbele ya Bunge na waTz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana Jiwe kaondoka Chato kakimbilia rubondo
Ni ndugu Yetu Innocent Flex ametwaliwa na Bwana usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Chalinze. Mpaka jana jioni alikuwa mzima wa afya lakini usiku akapata maumivu makali ya kichwa na kubanwa pumzi ikabidi akimbizwe hospitali asubuhi lakini hakufika
Kabla ya kuwa OCD Chalinze alikuwa OCD Kibaha.
Mwili uko mochwari Tumbi hospital.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
Jr[emoji769]
Chato mpaka Rubondo ni Km 28 tu.Ndio maana Jiwe kaondoka Chato kakimbilia rubondo
nakuona Kama atheist zaidiMkristo Mlutheri
Jr[emoji769]
Sana tuKuna watu wanaenjoy kupost habari za hivi
bushmamySana tu
Kwani ni covid_19
Kweli wewe unamfahamu. Nilikuwa naye last 3 days
Jr[emoji769]
Labda kaenda kufanya utaliiChato mpaka Rubondo ni Km 28 tu.
Huyu Brother ni rafiki yangu na nilimfundisha bint yake. Mwezi uliopita tu nilionana naye pale Chalinze.Kuna wakati muwe watu wa tafakuri.. Hamjui nikoje na marehemu... Msiwe watu wa kuhukumu kila kitu...
Jr[emoji769]
Hii ni dalili ya corona? Muda mfupi kiasi hicho? Sky Eclat naomba elimu if these short interval symptoms and ensuring death relate to corona illnessesMpaka jana jioni alikuwa mzima wa afya lakini usiku akapata maumivu makali ya kichwa na kubanwa pumzi i
Kasogea tena? Hahahaah!!!Ndio maana Jiwe kaondoka Chato kakimbilia rubondo
Kuna maambukizi unakua nayo lakini hayaonyeshi dalili. Angekwenda hospitali wangeanza management ya maumivu ya kichwa wakati uchunguzi mwingine ukiendelea.Hii ni dalili ya corona? Muda mfupi kiasi hicho? Sky Eclat naomba elimu if these short interval symptoms and ensuring death relate to corona illnesses