DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Hio kazi ya kukamata wapotoshaji ni ya ovyo kuwahi kutokea nchiniAisee,Polisi wamepewa jukumu la kukamata wapotoshaji kuhusu corona,sasa na wanakufa,sijui nani atafanya kazi ya kukamata wapotoshaji
wala usijali Mshana watasema tunamsaidia Ummy hayaaaaKuna wakati muwe watu wa tafakuri.. Hamjui nikoje na marehemu... Msiwe watu wa kuhukumu kila kitu...
Jr[emoji769]
Watu wana roho za kichawi wanafurahi sijui wanamkomoa nani!!?Kuna watu wanaenjoy kupost habari za hivi
Acha kuamini kila unachokisia au unachoambiwa hata kama umekisia kwa Rais wa nchiEt za chin chin znasema corona imetengenezwa maksud to flashi the weak ones..yaan dunia hii ya tecnohama haitak tena magonjwa..ina flashi woote baada ya hii tuu utaskia dawa ya ngoma imepatikana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule Mpare mwenzangu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Yule mpare mwenzako. Mange anasema kirusi kimebadilika na kweli wataalamu wanasema kimejibadilisha ma kuwa deadly.
Kile cha wuhan na usa sio cha Africa.
Cha mbele kinakupa muda kidogo ila cha bongo kinakuchukua fasta.
Wabunge .. waliokufa na huyu wameondoka kwa muda mfupi sana
sureHapana hawanidhalilishi mimi wanajidhalilisha wenyewe
Jr[emoji769]
Yawezekana si kwako ila nishaiona sana humu...kama nimekusingizia please ignore🙏Hiyo enjoyment iko wapi hapo
Jr[emoji769]
mtafute msukuma wa nyunguYanafanyikaje mkuu??
Ni upotoshaji hajafa au sio?Kuna watu wanaenjoy kupost habari za hivi
Kwani watakufa wote?Aisee, Polisi wamepewa jukumu la kukamata wapotoshaji kuhusu corona,sasa na wanakufa,sijui nani atafanya kazi ya kukamata wapotoshaji
Tatizo ni hofu, mtu akipata mafua kidogo tu presha inapanda, anakata moto. Hata mh Rais anasema huu ugonjwa unawapa hofu watu, wakati ni wa kawaida tu.