TANZIA OCD wa Chalinze, Innocent Flex afariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi maradhi ya kuumwa kichwa na kubanwa pumzi

TANZIA OCD wa Chalinze, Innocent Flex afariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi maradhi ya kuumwa kichwa na kubanwa pumzi

Mama mzazi wa marehemu katwaliwa asubuhi hii

Jr[emoji769]
 
R.I.P Kamanda Aisee Ugonjwa unatutafuna sana kwa kweli...hao ndio wanaofahamika huko mtaani sijui kukoje Mungu atusimamie kwa kweli...
 
Naona unatoa sumu mwilini...
kwa kubwatuka.....
Ukishaona malaya anamtetea malaya mwenzake
ujue wanatafuta mabwana, umbwa keshawabwatukia
hapa JF hakuna kiranja wa kumkosoa mwenzake
halafu tena wote tuna ID fake
 
Mama mzazi wa marehemu katwaliwa asubuhi hii
Jr[emoji769]
Leo kaondoka Diwani wa Jiji la Dodoma
Mazishi ni kesho saa 7
kifua kilimbana
eti watu hatutaki tutangaziane hata member humu JF
 
Back
Top Bottom