peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Asakri wakilia wakati wakiaga milii ya wenzao watatu tayari kwa kwenda kuzikwa.
Kifo ni kifo tu kama alivyonena Mrs Chivayo.
Kifo ni kifo tu kama alivyonena Mrs Chivayo.
🤡 Kamsemee kwa Samiaok 🐒
Hii chupi ni ya mjerumani?Mbunge, Cherehani (CCM): Katiba ni Karatasi, haiwezi kubadilisha Maisha, Pambaneni kutafuta Pesa
CCM mbuziHii chupi ni ya mjerumani?
Double eda.Atachoka kukaa eda
Vipi mkuu, mnaenda lini tena kuwachukua gen z wa Kenya tena kuja kuipora ikulu?!!!Nikikumbuka wale washenzi walikuwa wanalenga kifuani. Shingoni, tumboni.
Walikuwa kama wanatungua ndege mtini. Raha yao ilikuwa wakiona watu wanakimbia kazi ilikuwa kijichagulia yupi apigwe..
Kweli tumepitia kipindi kigumu sana. Siwezi sahahu.