Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Anonymous April 8, 2013 at
3:28 PM
anajifanya mjanja yule Mange
halafu eti leo anatangaza kazi ya
mumewe inawapeleka state
ingine, limekuwa BENDERA
FUATA UPEPO, Karne hii
wanawake wajanja wote hakuna
anayehamishwahamishwa hovyo
na mume. Hiyo ni dalili ya
kutokuwa na kazi ya kueleweka
na kutokuwa na msimamo,
wewe kweli business yako kama
imekolea na duka
limechachamaa, utahama
hovyohovyo na upesiupesi
namna hiyo? sio kwamba
sikuhizi wanaume wanaenda
wenyewe then mnakuwa
mnatembeleana weeee, hadi
mtu uweze kuweka mambo sawa
ya business yako au utafute kazi
huko kwingine, then
ushughulikie mambo ya watoto
ya shule n.k yeye mara ooh
nafungua duka, mara ooh
naenda bongo wala hasemi
dukani anamuacha nani, kumbe
duka tunasikia limejamba siku
nyingi na mume alikuwa ana
mkataba wa mwaka 1 haya
umejamba hajaongezewa inabidi
wahame, na bado MTAHAMIA
HADI TIMBUKTU MKITOKA
HUKO MTAENDA HADI SAYARI
YA PLUTO.KAMA SIO KUROGWA
HUKO NI NINI? CHEZEYA WATU
NA MAHASIRA NA IMANI ZAO?
LAANA ZA MIDOMO YA WATU
NDIO MAANA WANAHANGAIKA
NA FAMILIA KILA
KUKICHA,SHUGHULI ZA
KUELEWEKA HAKUNA, KAZI
KUHAMA UTADHANIA WALE
WAFUGAJI WA NG'OMBE.
3:28 PM
anajifanya mjanja yule Mange
halafu eti leo anatangaza kazi ya
mumewe inawapeleka state
ingine, limekuwa BENDERA
FUATA UPEPO, Karne hii
wanawake wajanja wote hakuna
anayehamishwahamishwa hovyo
na mume. Hiyo ni dalili ya
kutokuwa na kazi ya kueleweka
na kutokuwa na msimamo,
wewe kweli business yako kama
imekolea na duka
limechachamaa, utahama
hovyohovyo na upesiupesi
namna hiyo? sio kwamba
sikuhizi wanaume wanaenda
wenyewe then mnakuwa
mnatembeleana weeee, hadi
mtu uweze kuweka mambo sawa
ya business yako au utafute kazi
huko kwingine, then
ushughulikie mambo ya watoto
ya shule n.k yeye mara ooh
nafungua duka, mara ooh
naenda bongo wala hasemi
dukani anamuacha nani, kumbe
duka tunasikia limejamba siku
nyingi na mume alikuwa ana
mkataba wa mwaka 1 haya
umejamba hajaongezewa inabidi
wahame, na bado MTAHAMIA
HADI TIMBUKTU MKITOKA
HUKO MTAENDA HADI SAYARI
YA PLUTO.KAMA SIO KUROGWA
HUKO NI NINI? CHEZEYA WATU
NA MAHASIRA NA IMANI ZAO?
LAANA ZA MIDOMO YA WATU
NDIO MAANA WANAHANGAIKA
NA FAMILIA KILA
KUKICHA,SHUGHULI ZA
KUELEWEKA HAKUNA, KAZI
KUHAMA UTADHANIA WALE
WAFUGAJI WA NG'OMBE.