aaaaahaaaaaa kazi kweli mchawi lazima amjue mchawi mwenzio bs walikua wakiwanga wote....kumbuka jamii forum ni yakila mtu haina mwenyewe so usi hamaki dada
Me natakaka picha ya Clement part II plz
Hehehehehehe eti tumemuundia kikundi hahaha Kumbe yanawafika eeehhh
Hahhhhha analoo kama uchangushume anao yeye na hizo teammavi zakee,lazima msumari uchome kote koteeee,lindaa miaka mingi lakini mrembo haswaaa lakini kenyewee kamekomaaa utafikiriii hua kanalima magimbii,nimeamini vimkomao hua vina matatizo sanaaa
hee mtanitoa damu sasa,ngoja nimalizane na Heaven on Earth kwanza wengine kaeni kwenye folenii..Ndio hivyo lazima aka recharge...twende nikupeleke kwa babu Tanga ukapate ya mvuto na ya kuchuna vibosile kama Mndengereko
aaaaahaaaaaa kazi kweli mchawi lazima amjue mchawi mwenzio bs walikua wakiwanga wote....kumbuka jamii forum ni yakila mtu haina mwenyewe so usi hamaki dada
Hivi we we Koku kwenye ule mgawo utapata chupi au Kile kikopo alichokuwa anatemea mate Wakati wa ujauzito? Hahahahahah aha naona unatetea mgawo wa malapu lapu aisee mtumikie kafiri upate japo kinyolea vu......z.....i

Hahhhhhahhhha anataka aajiliwee awe housegirl wakee ndio maana yupo hai haii misukureeee
Embu weka avatar ya koku domo nicheke
Mange anawarusha hadi wanaojiita great thinkers
Hahaha tutaona mengi mwaka huu
Mange anawarusha hadi wanaojiita great thinkers
Hahaha tutaona mengi mwaka huu
Heeeeeeee Ndo atutolee roho sie kisa mgawo? Apite hiviiiiiii
Anawarusha hao misukule wakee tunaweka mabaya yake kama anavyoweka ya wenziee wala hakuna anachozidiii maana anaishi kama kawaida tu picha zinawachanganyaa hahhhhhahhha
Hahahaa mange bwana kimbiza haoooooo maana toka walivyoanza kusema anaroga mpk leo sijaona mabadiliko ebu endelea kuwakimbiza kuna ngedere wanaota maisha yako